MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,565
- 843
Hao ni Protesters waliopo Marekani wengi wao ni Iranian- Americans,lakini pia wapo watu wengi wa mataifa mengine ambao wanaona uchaguzi wa Iran haukuwa fair,kuna wanaosema waziwazi kuwa Utawala wa Obama unapaswa uingilie kati hali Tete iliyopo Iran.
Mgogoro huo unakwenda pabaya,kwa sababu serikali ya Iran inatumia nguvu kuvunja maandamano hayo,lakini watu bado ni wengi na wanazidi kuingia mitaani.....Inaonekana Rais Obama atatoa tamko la serikali ya US kuhusu hali hiyo ya Iran.Pentagon inasema imeweka majeshi ya US yalipo Persian Gulf katika hali ya tahadhari.
Licha ya Washington DC kuna maandamano makubwa New York,San-Fransisco na Los Angeles,Miji yote hiyo ina Idadi kubwa ya Iranian-Americans.
Asante mkuu kwa info. Sidhani kama Obama atatuma majeshi huko kwa sababu kuna watu watasema Marekani ilikuwa ina tafuta to excuse ya kuingia. Obama atasubiri mpaka ajue kuwa whatever actions he takes itakuwa na support ya wengu around the world. Ila I also don't think Marekani ina takiwa kuingilia maswala ya nchi nyingine. Kama ikibidi nchi zingine ziingilie then ifanyike kupitia U.N.