Propaganda hizo.Najua baadae ukiingia mtandaoni utakutana nayo hii habari hakuna propaganda
Hao wanahabari wanaripoti wanachokipata tu.
Si kama walivyotangaza Iran imeongea na Qatar kuwaomba waongee na USA kumbe uongo?
Mwisho Iran ikaja kukana hiyo taarifa.