Iraq itasimama tena

Kuna soldiers wengi wamezikwa ujerumani wa mataifa tofauti hata ndugu hawakuwaona kabisa.
Walibebwa kwenye bags na kupakiwa kwenye ndege.
Germany ndio ilikuwa base kubwa ya ndege za USA zilipokuwa zina refuel na kupakia makombora kwenda kuuwa innocent people in Iraq
 
Reactions: SDG
Kuna nguvu kubwa sana inatumiwa na hawa aliens kuiangamiza mashariki ya kati, Kuna kitu wanakifahamu na ni kitu kinachowapa hofu kubwa..... Wajaribu kulegeza kamba uone kitakachotokea

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa kabisa mkuu..
Hapo mashariki ya kati ndio itapoanza WORLD WAR THREE...
Wameweza hadi kuwagonganisha vichwa UAE,QATAR na SAUD ARABIA
Leo wamekua maadui wakati walikua na umoja upendo na Amani

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Upo sawa kabisa mkuu..
Hapo mashariki ya kati ndio itapoanza WORLD WAR THREE...
Wameweza hadi kuwagonganisha vichwa UAE,QATAR na SAUD ARABIA
Leo wamekua maadui wakati walikua na umoja upendo na Amani

Sent from Calculator Phone vesion007
Kumbuka mtenda maono hafi ngoja nitulie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
marekani wanaweza kuamua kuhamishia balaa hili mahala popote, issue ni ku divert ujinga wa waarabu wa ku concentrate kushambulia israel na other allies wa america waliopo mashariki ya kati. Hapa wanaweza hata wakahamishia balaa hili tunisia au Moroco because nchi hizi ni moja ya vyanzo vikubwa vya wapiganaji wa jihad na wa kujitoa mhanga
 
Mshana una maarifa sana mkuu, ni mtu wa tafakari sana wewe really great thinker, mambo ya Kimungu pia mwerevu wake, halafu MTU wa mizahaa wakati mwingine, aina tu uwasilishaji wa mada zifurahishe. Hongera sana, ulilelewa kanisani nini mkuu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji120] [emoji120] [emoji120]background yangu ni Kanisani sahihi kabisa, halafu nikaenda seminary ya Kibuddha kwa miaka mitano nikajifunza mengi ya kiroho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kusema ukweli mshana jr mada zako ni nzuri mno shida unaziwasilisha kwa ufupi sana, pongezi lakini ila ukweli iraq haitakua vile ilivyo kua maana imeitwa kwa majina yote mabaya, kahaba,makao makuu ya wachawi nk nk. so ni mji wenye laana
 
kusema ukweli mshana jr mada zako ni nzuri mno shida unaziwasilisha kwa ufupi sana, pongezi lakini ila ukweli iraq haitakua vile ilivyo kua maana imeitwa kwa majina yote mabaya, kahaba,makao makuu ya wachawi nk nk. so ni mji wenye laana
Asante OK hii inaendea lakini nivumilieni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuendeleee sasa!
Kwanza niseme wazi kwamba nimeshangazwa mno na hiki kilichotokea kwenye hii mada, nimekuwa na kusita kwingi mno kwenye mwendelezo wake na kila nilipojaribu, kulitokea kikwazo na jana nikapoteza kitini changu chenye dondoo muhimu za hii mada... Anyway kibali kimepatikana sasa
Sehemu kubwa ya historia inabebwa na miji ya Mosul, Tikrit na sehemu iitwayo Asyria (pengine ndio Siria ya leo)
Vimetokea viti vingi tangu kuanguka kwa Ninawi, lakini vibaya kabisa ni hivyo vya Ninawi 613BC na hivi vya anguko la Saddam 2003
Vyote vilipiganwa kwa kuunganisha nguvu (allied forces) dhidi ya Iraq
Mosul kama kitovu cha vita hiyo, makabrasha ya historia yanaonyesha kuwa kulikuwa na ukatili mkubwa ulifanyika wakati wa vita hiyo... Mbinu za kuchinja watu ndio iliogopwa zaidi... Rejea ISIS walichofanya Mosul na kwingineko, ni kama historia inajirudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…