Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna soldiers wengi wamezikwa ujerumani wa mataifa tofauti hata ndugu hawakuwaona kabisa.![]()
Veteran.
![]()
Tony nave 6 age baba yake kafia iraq.
![]()
Baba na mama.
![]()
Brothers wa marehemu wa vita ya IRAQ.
![]()
Anamlilia rafiki yake very painful.
![]()
crying soldier
![]()
Dead us snipers in Ramadi.
![]()
![]()
Vita tuisikieni tu redioni.
The U.S. War Casualties the Pentagon Doesn’t Want You to See.
Walibebwa kwenye bags na kupakiwa kwenye ndege.
Germany ndio ilikuwa base kubwa ya ndege za USA zilipokuwa zina refuel na kupakia makombora kwenda kuuwa innocent people in Iraq