Iraq itasimama tena

Mshana umeongea maneno mazito sana yakihekma yahali yajuu mno,niwenye kufikir pekee ndo wataelewa umezungumza nn.nikwel wazungu wanaifatilia sana mashariki yakat nikwel kuna kitu wanajua nanikwel wanahofu sana nahicho kitu hawawapi nafas hawa jamaa maana kunakila dalili yaustaarabu wamtu unatokea mashariki yakat nawazungu wameahaleta ustaarabu wao naili uwe nathaman lazima wauue ustaarabu wa mashariki yakati,ila swal lakujiuliza nije?uongo umewahi kuushinda ukwel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo
Endelea mkuu ni elimu unatupatia pia. Napenda usimulie mambo uliyoyaona
 
Yaliyotokea Iraq wakati wa vita huwezi amini, viatu vya wanajeshi vilikuwa vinayeyuka kwa jua
Lakini Mimi nilikuwa huko miaka kibao sijawahi ona vikiyeyuka.
Nge walikuwa wanatoka mamia kwa mamia
Mengine ni kama ndoto acha niishie hapo
Vita iliyopo Iraq ni vita yenye maajabu yake, lakini kwa kuwa wenye nguvu ndo wanaohusika hawatangazi mabaya yanayowakuta ila Iraq kuna mengi..
 
Endelea mkuu ni elimu unatupatia pia. Napenda usimulie mambo uliyoyaona
Mwaka 1980 ilanza vita ya Iraq na Iran na kumalizika mwaka 1988
1980 nilikuwa huko mpaka vita vinaisha.

Waliporudi toka vitani ambapo Iraq waliingizwa vita hivyo na wazungu ili kuhakikisha Iran asije akaangamiza gulf countries zikiwemo Saudia na wengine.

Yalitokea ni mengi mpaka Saddam anaingia Kuwait naikumbuka hiyo siku vizuri sana
Jeshi la Iraq lilikuwa kubwa sana kiasi cha ardhi kutikisika kwa mizinga iliyokuwa inapita
Nchi ya Kuwait ilikuwa na watu wasiozidi 1m wakati huo kwa hiyo haikuwa taabu kwa jeshi la Iraq kuikamata kwa masaa 3 tu Kuwait
Tulihaha sana na kutokujua la kufanya ikabidi tutawanyike kwa vikundi na kuwa raia na kujichanganya.

Wengi walikimbilia saudia na wengine walibaki.
Ilikuwa ni tarehe 2 mwezi wa nane walipovamia
Sikushtuka sana ingawa wengi walikuwa wanalia sana
Nilishuhudia mengi sana

Waliombwa sana waondoe majeshi lakini walikaidi na kuuita Kuwait kama jimbo la 19 la Iraq na kufurahia kuwa wamepata bahari na visiwa kama bubian

Majeshi ya nchi 28 duniani yakaanza mkakati wa kuanza kujipanga kuivamia Iraq. Ikumbukwe hawakuweza kuivamia maana ilikuwa ni miezi ya joto sana mpaka nyuzi 55 za joto
Wakasubiri hali ya hewa ibadilike ndio waanze mashambulizi
January 1991 mapambano yakaanza amerika wakiongoza vita

Nafikiri wengi mlikuwa mnasikia kilichotokea.
Majeshi hayo wengi wao walikuwa wakiiba vitu vya zamani sana ambavyo vililindwa tangu enzi za mitume
Mission ilikuwa ni moja KUIBA kila kitu
Walifanikiwa sana lakini wengi yamewakuta kama kuumwa na wadudu kama ng'e na kufa
Wengine wengi wamewehuka na wengi wamejiuwa wengi sana wameshindwa kuvumilia hali waliyokuwa nayo.

Wanasema ni zile chemicals zilizotumika ndio zimewaathiri lakini mimi siamini najua yaliyotokea huko. Mji wa zamani una mengi na ya kutisha.
Waliiba mpaka mawe yaliyochongwa miaka ya nyuma sana na kuja kuyakuta yakiuzwa London kwa bei mbaya.
Yaani jiwe dogo limechongwa kama uso wa mtu hata hakijai kiganja inauzwa kwa £4500.
Kwa kweli yaliyowakuta wanashindwa hata kutaja ni maradhi gani.
Maajabu ya dunia yako huko lakini sidhani serikali zao kama zinajali kwa yaliyowakuta wanajeshi wao.
Maadam wamepata walichokitaka to hell with them.
 
Endeleeni na colabo henu plz maana ni ushahidi vs maandishi na uchambuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENDELEA TAFADHALI NAFUATILIA KWA MAKINI SANA[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]


Jr[emoji769]
 
Aiseee,mambo ya kuumiza sana haya.


May Allah bless Me and You
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…