Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Na kua uyaoneKweli dunia ina mengi..
Mengine kama ndoto vile lakini mmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kua uyaoneKweli dunia ina mengi..
Na kua uyaone
Mengine kama ndoto vile lakini mmh
Na ya kutisha pia, lakini Mungu mkubwa na hayo yakapitaKweli kabisa mkuu.. Ila mkuu ulioyaona wewe ni mengi na ya kustaajabisha
Mimi nimeshuhudia ila wewe Google kwani wao pia hawafichiButi zinayeyuka??
Hapa nadhani ni Qatar peke yake dhidi ya Arabi liegue.(Yemen, Egypt, UAE, Saudi Kingdom)Upo sawa kabisa mkuu..
Hapo mashariki ya kati ndio itapoanza WORLD WAR THREE...
Wameweza hadi kuwagonganisha vichwa UAE, QATAR na SAUD ARABIA
Leo wamekua maadui wakati walikua na umoja upendo na Amani
Sent from Calculator Phone vesion007
Tatizo naloona kwenye models ama postulates zako:- hua unaipaisha sana USA na kuzifanya hizo nchi nyingine za waarabu kama wajingawajinga wasiojitambua pale wanaposhirikiana na USA.syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
Weka iwe rahisi kidogo. makampuni mengi ya magari duniani yameshaeka deadline kati ya mwaka 2020-20130, wataachana na magari ya kutumia petrol na mazalia yake. Magari yatakuwa ni ya umeme, na nishati zingine.Pia yatakuwa ni driverless/self driving .Kwa sasa, mataifa ya ulaya yamepeana gap ya kupiga faida kubwa na kuhama haraka. Kisha yapigwe marufuku ulaya hayo magari. Tesla wana betry na chanrger zake za kushangaza. uchina wameshaingia nao. Na vituo vya kucharge vimeshaanza kujengwa ,huku technologia nyingine zikifanyiwa tafiti km kujicharge wirelessly wakati yakipia ktk barabara. Sasa hivi waarabu wanuaziwa timu zenye hasara ili wapunguze hela zao,huku wao wakifanya masifa ya manunuzi.Mshana Jr. Mkuu usitegemee Iraq itasimama imara tena haiwezekani kabisa.
Kwasababu teknolojia zinakuwa Iraq inategemea mafuta kuendesha uchumi na tunakoelekea miaka 10 ijayo matumizi ya mafuta yatapungua kwa 60% na kwasasa ugunduzi wa mafuta sehemu mbalimbali ni 16% miaka 10 ijayo ugunduzi wa mafuta utafikia 45%
Piga hesabu ya kuwianisha 100%–60%+45% = ±5%
Ndiko Iraq inakoelekea usitarajie Iraq kusimama tens
Ni Kweli uchumi ktk inchi za kiarabu utadorola Sana maana Hawana kingine wamejikita zaidi viwanda kwaajiri ya uchimbaji mafuta na uzalishaji mafutaWeka iwe rahisi kidogo. makampuni mengi ya magari duniani yameshaeka deadline kati ya mwaka 2020-20130, wataachana na magari ya kutumia petrol na mazalia yake. Magari yatakuwa ni ya umeme, na nishati zingine.Pia yatakuwa ni driverless/self driving .Kwa sasa, mataifa ya ulaya yamepeana gap ya kupiga faida kubwa na kuhama haraka. Kisha yapigwe marufuku ulaya hayo magari. Tesla wana betry na chanrger zake za kushangaza. uchina wameshaingia nao. Na vituo vya kucharge vimeshaanza kujengwa ,huku technologia nyingine zikifanyiwa tafiti km kujicharge wirelessly wakati yakipia ktk barabara. Sasa hivi waarabu wanuaziwa timu zenye hasara ili wapunguze hela zao,huku wao wakifanya masifa ya manunuzi.
pole mkuu,nasubiri kwa hamu ,tena naomba uni tag ukipandishaKuna kitu kilienda kombo kaka
Mmh GuDume unasoma historia kweli? Hasa ya Iraq na miji yake? Unaijua vema historia ya Ninawi? (Nineveh)?Ni lini iliwah kuwa imesimama useme itasimama tena?iraq haikuwah kuwa taifa kubwa duniani. Matukio hayo ya kihistoria yapo lakini ukisema itasimama tena nauliza ilismama lini?
Rejea hii habari ya janaMmh GuDume unasoma historia kweli? Hasa ya Iraq na miji yake? Unaijua vema historia ya Ninawi? (Nineveh)?
Miaka hiyo Ninawi ndio ulikuwa mji wenye maendeleo makubwa duniani pamoja na wasomi wengi