Iraq itasimama tena

Upo sawa kabisa mkuu..
Hapo mashariki ya kati ndio itapoanza WORLD WAR THREE...
Wameweza hadi kuwagonganisha vichwa UAE, QATAR na SAUD ARABIA
Leo wamekua maadui wakati walikua na umoja upendo na Amani

Sent from Calculator Phone vesion007
Hapa nadhani ni Qatar peke yake dhidi ya Arabi liegue.(Yemen, Egypt, UAE, Saudi Kingdom)

Ila mataifa ya ulaya ikiwemo Turkey ina muunga mkono Qatar.
 
syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
Tatizo naloona kwenye models ama postulates zako:- hua unaipaisha sana USA na kuzifanya hizo nchi nyingine za waarabu kama wajingawajinga wasiojitambua pale wanaposhirikiana na USA.

Ni vyema ujikite kujua ni nini hasa hizi nchi za kiarabu zinapendelea kjenga mahusiano na USA. Zinanufaika na nini?
Kwanini ni muhimu USA awe rafiki yao.?

Kwa mfano hizi nchi za Saudia, Yemen, UAE Zinamuhofia sana Mu-Iran. Iran amekua kitisho namba moja.

Sijui kama unalifahamu hili?.

Syria nayo Inagombaniwa na Russia(bear) upande mmoja ikiungwa mkono na serikali ya Bashir na upande wa pili kuna UK na Israel.
USA yupo pale kumpa backup UK(uncl sam)

Iraq imetumika kama gatepass ya kuiangamiza Iran.
 
Mshana Jr. Mkuu usitegemee Iraq itasimama imara tena haiwezekani kabisa.
Kwasababu teknolojia zinakuwa Iraq inategemea mafuta kuendesha uchumi na tunakoelekea miaka 10 ijayo matumizi ya mafuta yatapungua kwa 60% na kwasasa ugunduzi wa mafuta sehemu mbalimbali ni 16% miaka 10 ijayo ugunduzi wa mafuta utafikia 45%
Piga hesabu ya kuwianisha 100%–60%+45% = ±5%
Ndiko Iraq inakoelekea usitarajie Iraq kusimama tens
 
Weka iwe rahisi kidogo. makampuni mengi ya magari duniani yameshaeka deadline kati ya mwaka 2020-20130, wataachana na magari ya kutumia petrol na mazalia yake. Magari yatakuwa ni ya umeme, na nishati zingine.Pia yatakuwa ni driverless/self driving .Kwa sasa, mataifa ya ulaya yamepeana gap ya kupiga faida kubwa na kuhama haraka. Kisha yapigwe marufuku ulaya hayo magari. Tesla wana betry na chanrger zake za kushangaza. uchina wameshaingia nao. Na vituo vya kucharge vimeshaanza kujengwa ,huku technologia nyingine zikifanyiwa tafiti km kujicharge wirelessly wakati yakipia ktk barabara. Sasa hivi waarabu wanuaziwa timu zenye hasara ili wapunguze hela zao,huku wao wakifanya masifa ya manunuzi.
 
Ni Kweli uchumi ktk inchi za kiarabu utadorola Sana maana Hawana kingine wamejikita zaidi viwanda kwaajiri ya uchimbaji mafuta na uzalishaji mafuta
Kidogo na vipodozi
 
Ni lini iliwah kuwa imesimama useme itasimama tena?iraq haikuwah kuwa taifa kubwa duniani. Matukio hayo ya kihistoria yapo lakini ukisema itasimama tena nauliza ilismama lini?
 
Ni lini iliwah kuwa imesimama useme itasimama tena?iraq haikuwah kuwa taifa kubwa duniani. Matukio hayo ya kihistoria yapo lakini ukisema itasimama tena nauliza ilismama lini?
Mmh GuDume unasoma historia kweli? Hasa ya Iraq na miji yake? Unaijua vema historia ya Ninawi? (Nineveh)?
Miaka hiyo Ninawi ndio ulikuwa mji wenye maendeleo makubwa duniani pamoja na wasomi wengi
 
Mmh GuDume unasoma historia kweli? Hasa ya Iraq na miji yake? Unaijua vema historia ya Ninawi? (Nineveh)?
Miaka hiyo Ninawi ndio ulikuwa mji wenye maendeleo makubwa duniani pamoja na wasomi wengi
Rejea hii habari ya jana
Yaani mmarekani aliificha hii habari tangu 1960 ilikuwa ni military operation zao.
Wamekuja kuachia 1996.

Na inaonekana iraq walikuwa na neema na utajiri haswa I mean 2000 years ago
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…