Iraq itasimama tena

sorry, jana sikuwa katika mazingira mazuri hasa nlipokuwa naona kuna gari nissan nyeupe kila napokata kona nayo inakata to tail me. so sikuweza kukujibu. anyway..... mimi ni mpenzi wa historia. nmesoma archaeology na kiasi flan anthropology . so nikisema sisomi hostoria ntakuwa muongo sana. hivyo kinyume chake is true. naufaham mji wa ninaw kwanza kupitia historia ya kwenye biblia na baadaye kusoma waandishi mbalimbali archaeologists wakizungumzia mambo mbalimbali ya kale. knimeuliza ni lini ulisimama kuwa ni mkubwa au maarufu sana duniani.hakuna ulikuwa maarufu miaka hiyo huko iraq lakini si kuwa kilikuwa ni kitovu cha biashara kubwa sana duniani. kuna miji kadhaa mbayo ntakutajia ilikuwepo duniani na ikapotea ....

  • JERICHO: The world's largest city in 7000 BC. ...
  • URUK: The world's largest city in 3500 BC. ...
  • MARI: The world's largest city in 2400 BC. ...
  • UR: The world's largest city in 2100 BC. ...
  • YINXU: The world's largest city in 1300 BC. ...
  • BABYLON: The world's largest city in 700 BC. ...
  • CARTHAGE: The world's largest city in 300 BC.
nadhan umesoma sana ahabri za babilonia na jinsi ambavyo Ulisambaratika. kuna falme ambazo ungeweza ku zirefer kusema maybe zinaweza kurudi tena. lakini kwa ninawi hakuna jipya litakalo tokea huko mark my words.its done its done.haukuwa na impact kubwa sana katika siasa za dunia. nawe unajua vizuri kuna miji ambayo ilikuwa na impact kubwa kuna tawala zilikuwa na impact kubwa kama Roman Empire, Ottoman Empire, British Empire n.k hizi unaweza jiuliza je zinaweza kuja rudi tena? ninawi haujawa na impact katika ulimwengu huu.

Mmh GuDume unasoma historia kweli? Hasa ya Iraq na miji yake? Unaijua vema historia ya Ninawi? (Nineveh)?
Miaka hiyo Ninawi ndio ulikuwa mji wenye maendeleo makubwa duniani pamoja na wasomi wengi
 
Tutaendelea kuna mambo namalizia kuweka sawa... Unajua hapo mashariki ya kati kuna siri kubwa sana hasa kwenye ishu nzima ya uumbaji
Ni kweli kabisa middle east wana historia ndefu sana.
Watu wengi mashuhuri wamepita hapo.
Iraq imetandikwa makombora na Iran halafu mataifa mengine yakaipiga tena alipovamia Kuwait lakini ukiangalia Baghdad huwezi sema ilipigana vita.
Nyumba bado zipo imara sijui walikuwa watu wa aina gani ajabu kwa kweli.

Kuna mengi sana huko endelea kufukunyua mkuu
 
What is your point?
 
Ngoja nitulie kaka
 
Mkuu [HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] tafadhali njoo malizia habari yako sababu nasikia kuna kanuni imetungwa kuwa "Ni marufuku mitandao /vyombo vya habari kujihusisha/kujadili mambo yoyote yaliopo nje ya nchi"
So, please come and finish it
 
Mkuu [HASHTAG]#mshana jr[/HASHTAG] tafadhali njoo malizia habari yako sababu nasikia kuna kanuni imetungwa kuwa "Ni marufuku mitandao /vyombo vya habari kujihusisha/kujadili mambo yoyote yaliopo nje ya nchi"
So, please come and finish it
Mmh hii ni ya lini? Bunge lina hii taarifa?
 
According to the Bible, Abraham was from Ur, which is in Southern Iraq. Isaac’s wife, Rebekah was from Nahor, which is also in Iraq. Additionally, according to legend, Iraq is the site of the Biblical Garden of Eden.[2]
 
According to the Bible, Abraham was from Ur, which is in Southern Iraq. Isaac’s wife, Rebekah was from Nahor, which is also in Iraq. Additionally, according to legend, Iraq is the site of the Biblical Garden of Eden.[2]
Thanx
 
Aisee
 
Ndugu Mshana barikiwa mno, nimeuelewa sana huu uzi. Nikirudi kwenye Bible naona ulichokisema kikitokea, nikimkumbuka myahudi namwona mwarabu akifuata nyayo hizo hizo maana wote waliahidiwa baraka. NB, myahudi ndiye anayeongoza kwa technolojia saivi na ndiyo mtu mwenye akili kuliko binadamu yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…