Iraq itasimama tena

Babeli unayoisema wewe haipo kabisa leo?

Yaani sehemu ilipokuwa Babeli hakuna mji wowote ni magofu kama unavyodai?
Kwa hiyo babeli sio Iraq sio, yenyewe iko wapi sasa
 
syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
Yangu imani yataanza kwa kuimarika kwa taifa la GREAT KURDISTAN A.K.A mdogo ake ISRAEL
 
Mkuu Mshana Embu Malizia Hio story ya Wairaq wa Mbulu
 
keep on going Mshana jr. tunakufuatilia kwa umakini mkubwa. Umenitaja na mimi mahala. hapo ulipotaja Wairaqw wa Mbulu, Arusha. Kwa nyongeza Wairaqw tupo Mikoa Mitatu sasa. Tupo Mbulu, Hanang, Babati na Kiteto kwa upande wa Manyara, tupo Karatu kwa upande wa Arusha na kwa sasa tumefika Kilindi, Tanga. Tunaendelea kuwasogeza wenyeji nyuma mdogomdogo. Historia inatuambia tulikimbia vita huko Mesopotamia (Iraq ya leo). Tukatua Ethiopia. Ethiopia ukame na tauni ilituhamasisha tena kusogea kusini zaidi.

endelea na habari ya Mashariki ya kati.
 
Huu uzi ukiwa mtu wa science na msomi wa kukariri huwezi kuuelewa abadani, wasomi wa mambo na wenye akili timamu kama mshana pamoja na sisi wenyekujua historia ya middle east tunafahamu nini kinachoendelea .Middle East ndio uti wa mgongo wa maisha ya mwanadamu.
 
Cyrus the Great......Persian Empire Now is Back.....Hivi Iran nguvu gani hasa maana nimeona US Intel ina ulaumu utawala wa Bush/Obama baada ya mission yao 2003 Ilitegemewa US aidhibiti Irak sawa anavyozidhibiti Saud,Kuwait,Bahrain,UAE,Qatar nk lakin Irak sasa imekua chini ya Iran...Na ikumbukwe covertly Iran amekua akiwapa silaha Irak na ndo zilipelekea Wanajeshi wengi wa US kuuliwa sawa na Afghanistan ambako US anamtuhumu Iran na sasa Russia kua wanarefusha vita kwa kuwapa silaha Taliban! Tukirudi Irak km mada inavosema kwasasa tusitegemee Irak kutulia maana US ameinvest sana uko kwa silaha na watu wake kufa tatizo Irak kwa % kubwa ni waislam wa madhehebu ya Kishia na Iran ni Washia hivyo US akajikuta anapata shida sana kutekeleza agenda zake maana saivi Iran wametrain Paramilitary unit [HASHTAG]#PMU[/HASHTAG] ambao ni washia sawa km Hezbollah na wananguvu tumeona mziki wao ktk kupambana na IS na uko Kurdistan hawa wako vizur tofauti na jeshi la Irak ambalo lilikua trained na US/NaTo lakin Dunia ilishihudia wakiuliwa km kuku na kukimbia na kuziacha silaha zao tena US made weapons mbele ya ISIS...Sasa kwa minajiri hiyo IRAN imeshaikamata IRAK na kinachofanyika sasa ni US kujaribu kuunganisha nguvu ya Saudi Arabia ,Israel na US mwenyewe ili kujaribu Kui contain Iran na wanataka waanzie Lebanon kwa Kundi la Hezbollah then wakimaliza wàje Iran....Hivyo kwa sarakasi hizi zote tutegemee Irak kutotulia kwa muda mrefu maana tiari Iran kashaingiza ideology zake uko Irak hivyo tutegemee Proxy wars among them....
 
Asante kwa uchambuzi uliotukuka...pamoja na kuichakaza kwa kila njia lakini bado mmarekani haamini amini...kwa post yako hii ni wazi mmarekani hana amani kabisa
 
[emoji120][emoji109]
 
Mkuu kuna wakati mimi hudhani mshana Jnr ni mwanga tu kama walivyo wanga wengine , na kuna walati huwa nadhani sio mtu wa kawaida na huenda mbali zaidi na kudhani labda ni jini aliekuja duniani kwa sura ya kibinadamu, kifupi nikikutana na Mshana Jnr usiku lazima nitimue mbio sana huku nikisoma dua zote nizijuazo hakuna namna ya kuokoa maisha yangu zaidi ya hiyo,
 
mshana jr nimekaa Iraq karibu kabisa na Babilon pale Najaf, pale kuna Shrine kubwa ya Imam Ali na wao wanasema ile srine pia ni ya Adam na Nuhu!!! lakini pale Najaf ya kale kuna eneo linitwa KUFA, pale pana historia yake pia. naomba sasa utusaidie ewe mwanajini tujue ukweli wa Babilon, KUFA, Ele mto wa Ufiriti unaokatiza pale najaf na samaki wake watamu, baadae utuambie historia ya watu wa Basra au wakiitwa Basrawi, na mwisho kabisa hawa weusi wa Basra wanaoitwa pia wa zanjibar amabo wanaaaminika wako fit kwa ulozi hapo iraq .... nimeishi mwaka mmoja pale
 
[emoji15][emoji15][emoji22][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kuna maeneo umenitajia ngoja tusimalize utamu wake hapa...kuna post yake rasmi itakuja...na Mungu akipenda mwakani nitaenda mitaa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…