Iraq itasimama tena

Iraq itasimama tena

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna jambo la ajabu ambalo wengi hawajalitambua... Nimejaribu kuunganisha dots, nikaingia Google kupata support ya picha na mawili matatu!
-Je unajua chochote kuhusu anguko la mji wa Ninawi na anguko la Saddam Hussein?
-Je unajua lolote kuhusu wairaq wa Mbulu Arusha kulikogunduliwa binadamu wa kwanza na wairaq wa Mashariki ya kati kunakosekana dunia ilianzia hapo!? Angalia mahali ilipo Eden, Ninawi, bahari ya Sham nknk
Iraq-Saddam-Hussain-Statue-Down.jpg
nineveh8.jpg
matukio mawili ya kufanana yaliyotokea katika nchi moja kwa tofauti ya maelfu ya miaka! Nitarejea kwa mahesabu yake
Image_88.jpg
Nineveh_Nebi_Yunus_Excavation_Bull-Man_Head.JPG

Kuna ufunuo hatujafunuliwa, yanayotokea mashariki ya kati ni unabii, unabii hauna budi kutimia.... Ni kipindi tu kitapita.... Achana na ukristo na uislam kuna makubwa kuliko hizi imani
Unaposoma misahafu unashawishika kabisa dunia tunayoifahamu ilianzia mashariki ya kati.... Hapa mahali hapatakaa paangamie kamwe.... Mbeba maono hafi.... Ni lazima unabii utimie
Hii ni part one nimetoka meditation naingia kilingeni.....
Stay tuned!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eneo hili la Mosul lina historia ya miaka elfu nyingi, hapa tunaona Ninawi (Nineveh) ilikuwa eneo hilo hilo la Mosul na ndio eneo ambalo ISIS walipatia nguvu hapo na nadhani pia ndio hometown pa Saddam RIP ⚰
_44639715_iraq_mosul_nineveh_0508.jpg
article-2654294-1EA4DFBF00000578-524_634x425.jpg
Maeneo mawili muhimu sana haya Mosul na Syria..... Twende mdogo mdogo tutatoboa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Historia inajirudia
Na vita kuu vya3 vya dunia vilisemekana vitatokea Mashariki ya kati..
Sasa dalili zote zipo kwa Syria

Sent from Calculator Phone vesion007
syria marekani kishanyanyua mikono juu,CIA kasitisha kuwapa silaha ISIS,
vita viko ukingoni,
mipango ya marekani sasa ni kuharibu iran,
bado sasa wanajipanga baada ya kumpoza kidogo kim Un,mambo yataanza pale iran mda si mrefu
 
Back
Top Bottom