Iraq: Ubalozi wa Sweden umefungwa sababu ya uchomaji wa Quran nchini Sweden.

Iraq: Ubalozi wa Sweden umefungwa sababu ya uchomaji wa Quran nchini Sweden.

Ni ujinga tu,unachoma kitabu,wakati viko mamilioni duniani.Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine.Kama biblia ziko nyumbani,kwa waislamu na zimehifadhiwa vizuri tu.Wanapopita wanaotangaza ukristo majumbani mwa waislamu,wanapokelewa vizuri,na kusikizwa,mwisho wanaacha biblia kwa waislamu.
Ila hapa aliyechoma ni mIraq mwenzao!
 
Hatuwezi tuka kaa kimya kuvumilia upuuzi wa namna hiyo.
Tumewashauri Waislamu wenzetu waishio nchini Sweden kwamba kama serikali haitamkamata huyo aliyechoma Quran, basi Waislam tuanze kuhamia nchi nyingine za jirani na tutawataka waislam wote kuacha kwenda nchini Sweden hadi hapo serikali itakapomkamata mtu huyo.
Katika hili tupo serious na kamwe hatutarudi nyuma.
mtafeli sana,tena pakubwa, ushaambiwa sweden haina mpango kukamata raia wake wanaochoma moto vitabu vya dini hawaamini vitabu hivyo na havipo kwenye katiba yao, tulia we muumini wa madongo kuinama bongo huijui dunia hii inavyoeenda
 
Ni ujinga tu,unachoma kitabu,wakati viko mamilioni duniani.Mbona waislamu hawachomi vitabu vya dini nyingine.Kama biblia ziko nyumbani,kwa waislamu na zimehifadhiwa vizuri tu.Wanapopita wanaotangaza ukristo majumbani mwa waislamu,wanapokelewa vizuri,na kusikizwa,mwisho wanaacha biblia kwa waislamu.
Na wao wawe wavumilivu tu, wakipuuzwa hata mandamano yao hayatakuwa na maana.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom