Irene mnigeria nisamehe Nimekupa mimba bila kutaka ni bahati mbaya

Venchwa kama venchwa zalisha iyo binti niger wana kopy nzuri sana
 
Nonsensical, better buy ashawoo next time or else be straight and point out it is a one night stand.
 
Dah we jamaa 😆 😂 😂 Wanasemaje Changi Umekula wanaigeria tena vipi wale waliokuvua boxer wakakupiga mtungo bado una date nao
 
Kuna mwamba aliwahi comment kati ya wana wenye fix humu JF #1 ni wewe Venchwa, kama kuna ukweli flani hivi?.
 
Venchwa ulikuwa umeenda vizuri unavyomleft on read ila hapo ulivyoreply umefall into her frame, hata jibu lako linaonesha niceness flani hivi. In Game, mindset is second to none.
 
Hayo ya jina niliyagundua baadae na Kwa sasa bado nimemsevu anisa kwanza pale si kazini kwake ni sehemu alikuwa anaenda kunywa na kutulia is a cool place niliuliza kwamba where that black lady
kwamba ukaulizaje?
"where that black lady"
 
Venchwa ulikuwa umeenda vizuri unavyomleft on read ila hapo ulivyoreply umefall into her frame, hata jibu lako linaonesha niceness flani hivi. In Game, mindset is second to none.
Hapana tunapita tu
 
Unaona wanavyofanyana kwenye movie zao. Sasa subiri hiyo mimba akuhamishie wewe tumboni kwako.
 
...Utoto Raha Sana!...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…