Irene Paul: Sitafuti mpenzi, ninae wangu

Irene Paul: Sitafuti mpenzi, ninae wangu

Ana mtu na hatafuti
Mkuu mbona unamtete sana hilo still tangazo tuu angekuwa kaolewa sawa.Kwa upande wake tena mkristo tunasema anazini bado.
''Haya mawazo yangu''
 
Anaishinae anampikia na kumpakulia,safi sana mdada endelea na hiyo kazi hiyari hushinda utumwa...........
 
Mkuu mbona unamtete sana hilo still tangazo tuu angekuwa kaolewa sawa.Kwa upande wake tena mkristo tunasema anazini bado.
''Haya mawazo yangu''

licha ya mawazo yako..Pia huko sahii sana
 
Mara nyingi mabinti husema hivyo, then ukikaza uzi wanakukubali tu. kaka Pumzi usikate tamaa huenda ukapata nafasi japo ya kukaa kibarazani, baadae sebuleni, mwisho unaingia chumbani kama kawa kama dawa.

Asante ndugu yng kwa kunipa moyo
 
Pumzi ana gundu jamani looh!! Huyu irene sio kabisa,si achepuke tu jamani kidogo, Pumzi usihofu wala nn ntakufanyia mpango awe shemej yetu najua atakuwa anatupa umbea wa bongo movie

na gundu sana yani!! nakutegemea ndugu yngu nahs ni mama wa watoto wngu huyo
 
Last edited by a moderator:
Ana contract na mtu ila kama unamhitaji lazima ulipe transfer fee(inaweza ikawa verossa,nyumba n.k)ili avunje contract.na umuhakikishie mshahara mzuri mzuri kuliko anaoupata huku.

duh!! so tofauti na hapo simpati??
 
Back
Top Bottom