theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 585
Mkuu mbona unamtete sana hilo still tangazo tuu angekuwa kaolewa sawa.Kwa upande wake tena mkristo tunasema anazini bado.Ana mtu na hatafuti
''Haya mawazo yangu''
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mbona unamtete sana hilo still tangazo tuu angekuwa kaolewa sawa.Kwa upande wake tena mkristo tunasema anazini bado.Ana mtu na hatafuti
Mkuu mbona unamtete sana hilo still tangazo tuu angekuwa kaolewa sawa.Kwa upande wake tena mkristo tunasema anazini bado.
''Haya mawazo yangu''
Mara nyingi mabinti husema hivyo, then ukikaza uzi wanakukubali tu. kaka Pumzi usikate tamaa huenda ukapata nafasi japo ya kukaa kibarazani, baadae sebuleni, mwisho unaingia chumbani kama kawa kama dawa.
Who is Irene Paul guys.......picture please.
Mmm makubwaaaa, basi ahamie kwa nyota ndogo
Ana contract na mtu ila kama unamhitaji lazima ulipe transfer fee(inaweza ikawa verossa,nyumba n.k)ili avunje contract.na umuhakikishie mshahara mzuri mzuri kuliko anaoupata huku.
Kwahiyo unakubali kuwa kidumu.