Irene Paul: Sitafuti mpenzi, ninae wangu

Irene Paul: Sitafuti mpenzi, ninae wangu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
attachment.php



Angelina Jolie wa Bongo' Irene Paul amekiri kuwa kwa sasa hajaolewa ila anaishi na mwanaume kwa kumpikia na kumpakulia.


attachment.php

Akiongea hivi karibuni, Irene ambaye mara nyingi ni mchoyo wa kuyaanika maisha yake ya kimapenzi alisema; "Sipendi watu wajue kuhusu maisha yangu nje ya sanaa. Kwa kifupi sijaolewa ila sitafuti mpenzi kwani nina mtu ambaye tuko siriasi zaidi.


attachment.php

'Irene Paul' akipozi.
"Naishi naye, nampikia na kumpakulia ila ndoa bado, nadhani kilichobaki ni hicho kufunga pingu za maisha."

Chanzo: GlobalPublisherz

 

Attachments

  • irenpo.jpg
    irenpo.jpg
    49.8 KB · Views: 644
  • IrenPaul.jpg
    IrenPaul.jpg
    20.8 KB · Views: 857
  • irene.jpg
    irene.jpg
    36.6 KB · Views: 945
Pumzi pitia huku upate breaking news
 
Last edited by a moderator:
Yule aliekuwa anasema anampenda irene paul nadhani majibu kapata
 
nimepata ingawa nitampenda hivyo hivyo ndugu

Ana contract na mtu ila kama unamhitaji lazima ulipe transfer fee(inaweza ikawa verossa,nyumba n.k)ili avunje contract.na umuhakikishie mshahara mzuri mzuri kuliko anaoupata huku.
 
Pumzi ana gundu jamani looh!! Huyu irene sio kabisa,si achepuke tu jamani kidogo, Pumzi usihofu wala nn ntakufanyia mpango awe shemej yetu najua atakuwa anatupa umbea wa bongo movie

Teh teh ahamie kwa Wolper au Lulu
 
Last edited by a moderator:
Teh teh ahamie kwa Wolper au Lulu

Lulu nasikia ana gubu huyo ukimuuzi anakirudishia vitu vyako vyote na simu anapasua, nasikia anapenda sana ku control wanaume wawe chini yak, ndo maana hadumu na ma men, lulu hatomuweza, wolper msagaji mkubwa
 
Lulu nasikia ana gubu huyo ukimuuzi anakirudishia vitu vyako vyote na simu anapasua, nasikia anapenda sana ku control wanaume wawe chini yak, ndo maana hadumu na ma men, lulu hatomuweza, wolper msagaji mkubwa

Mmm makubwaaaa, basi ahamie kwa nyota ndogo
 
Who is Irene Paul guys.......picture please.
 
Mara nyingi mabinti husema hivyo, then ukikaza uzi wanakukubali tu. kaka Pumzi usikate tamaa huenda ukapata nafasi japo ya kukaa kibarazani, baadae sebuleni, mwisho unaingia chumbani kama kawa kama dawa.
 
Mmm makubwaaaa, basi ahamie kwa nyota ndogo

Watu wanataka kuwa na madem wenye nyota kama mama ubaya, sasa huyo jina lake lenyew lishajieleza nani atamtaka? Hata kwenye magazet haandikiki, hana nyota
 
Back
Top Bottom