Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya Kiislam Ambao bado hajaweka wazi Kama ndoa tayari ishafungwa Ila Kuna sherehe ya ndoa yao itayofanyika Ijumaa Ya 27.10.



Ikumbukwe Irene ni mtalaka Wa mwanamichezo WA mpira wa miguu Ndikumana Kutoka nchini Rwanda na walibarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.



Hizi ni baadhi ya picha katika maandalizi ya ndoa Yake mpya


Hii ni kadi ya Mwaliko wa Reception aliyowapatia watu wake wa Karibu watakaojumuika naye Kwenye sherehe yake.
 
Hongera sana dada yetu ila sio ajabu tukasikia hii ni project
 
Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur

Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
 
Ndicho wanacho kipatia zaidi kubadili mabwana cyo kuigiza.
 
Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur

Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
Ndio anaowapenda
 
Ijumaa ndoa?
Hakuna ndoa hapo dada jonah huyo sheila huwa anapenda sana makiki na mapicha picha

Mara anapenda wanaume wenye sur mbaya

Mara hapend mwanaume mwenye pesa


Mara anagombea ubunge

Kaona hasikik kaona aje na kiki ya kama ile ya JOSE KAMILION ya kunadilisha din ijumaa then jumapili anaibuka tena kanisan na kudai alikosea njia

Kaona hiyo kiki haitosh kaongeza na ya kufunga ndoa

Hawa bongo move toka baba yao STEVE KANUMBA atutoke wamekuwa vichekesho kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…