Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya Kiislam Ambao bado hajaweka wazi Kama ndoa tayari ishafungwa Ila Kuna sherehe ya ndoa yao itayofanyika Ijumaa Ya 27.10.
Ikumbukwe Irene ni mtalaka Wa mwanamichezo WA mpira wa miguu Ndikumana Kutoka nchini Rwanda na walibarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.
Hizi ni baadhi ya picha katika maandalizi ya ndoa Yake mpya
Hii ni kadi ya Mwaliko wa Reception aliyowapatia watu wake wa Karibu watakaojumuika naye Kwenye sherehe yake.