Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur

Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
hahahah mwenyew alishasemaga hapendi wenye sura nzuri anapenda mabandidu
 
Anaenda kuzini tu huyo. Ndoa ya kanisani haivunjiki. No wonder kabadilisha dini sababu hamna kanisa litamfungisha ndoa wakati mume wa kwanza yu hai.
 
Piere Huyo siyo Mkongo Kweli
 
Mwanamke umeshasikia ameburuzwa na mtu fulani...fulani na fulani wameburuza halafu na wewe eti unaenda kabisa kutangaza ndoa,hii ndiyo inayotusababishia wanaume wa Dar tunadharauliwa.kwamba unaenda okota concord halafu unajiona kidume kumbe kwa wanaomjua wanajua hata wakim-text mkiwa honeymoon wakamwambia njoo hotel fulan room fulani nikugonge viwili nikupe 100,000/= anakuaga kwenda kununua vocha akifika anamanua mtu anamaliza anarudi kwako.vitu vingine mwanaume ufiche sio kila kitu cha kutangaza utadharaulika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…