Tena pengine ni mke wa pili maana kwa umri wa mwanaume lazima awe na mke. Maisha ya mitala atayawezaAnaenda kuzini tu huyo. Ndoa ya kanisani haivunjiki. No wonder kabadilisha dini sababu hamna kanisa litamfungisha ndoa wakati mume wa kwanza yu hai.
Mimi Usafi na mapishi ndio maana nikaoa Mbondei wa Tanga kwa akina MANI
Kumbe ni Mchaga?Watani zangu wachaga, hii miguu yenu vipi??
mazingira ya ninima mazingira
Zigo limemuepuka, chalii bado mdogo haya mambo ya kubebana na mama zao amwachie diamondDogo Janja ataumia sana.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125]Imeolewa ulitaka akuoe wewe
Alimvuruga sana Ndikumana wa watu hadi mpira ukamshindaAnaenda kuzini tu huyo. Ndoa ya kanisani haivunjiki. No wonder kabadilisha dini sababu hamna kanisa litamfungisha ndoa wakati mume wa kwanza yu hai.
Au alifiwa na mke au kuachana piaTena pengine ni mke wa pili maana kwa umri wa mwanaume lazima awe na mke. Maisha ya mitala atayaweza
Mkuu,watoto wa kike ndio wanajua nani ana sura nzuri au mbaya,wewe yamekukuta yapi tena?Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur
Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
huyo ndio kakubali kukumbana na harufu nzuri ya KMsanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya Kiislam Ambao bado hajaweka wazi Kama ndoa tayari ishafungwa Ila Kuna sherehe ya ndoa yao itayofanyika Ijumaa Ya 27.10.
Ikumbukwe Irene ni mtalaka Wa mwanamichezo WA mpira wa miguu Ndikumana Kutoka nchini Rwanda na walibarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.
Hizi ni baadhi ya picha katika maandalizi ya ndoa Yake mpya
View attachment 616620 View attachment 616621
Hii ni kadi ya Mwaliko wa Reception aliyowapatia watu wake wa Karibu watakaojumuika naye Kwenye sherehe yake.
View attachment 616623 View attachment 616624
Astagafululilah.. tutake radhi hili jina limebarikiwa na Allah.Malaya pori tu uyo Sheila
juu sasa simba dume halioni ndaniWatani zangu wachaga, hii miguu yenu vipi??
Sheila lipo hata kwa Wakristo acha zakoAstagafululilah.. tutake radhi hili jina limebarikiwa na Allah.
Tabora hiyoKumbe ni Mchaga?