Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Irene Uwoya Abadili Dini Sasa kuitwa Sheila.

Anaenda kuzini tu huyo. Ndoa ya kanisani haivunjiki. No wonder kabadilisha dini sababu hamna kanisa litamfungisha ndoa wakati mume wa kwanza yu hai.
Tena pengine ni mke wa pili maana kwa umri wa mwanaume lazima awe na mke. Maisha ya mitala atayaweza
 
Mimi Usafi na mapishi ndio maana nikaoa Mbondei wa Tanga kwa akina MANI

Kweli we ni mwisho. Yaani hata ungekuta domo ka choo kwako hujali bora anajua kupika wali mchambuko?? We noma aisee. Miye hajui kupika ila ukifika sebuleni hutamani aondoke bali umwangalie tu uso wake
 
Anaenda kuzini tu huyo. Ndoa ya kanisani haivunjiki. No wonder kabadilisha dini sababu hamna kanisa litamfungisha ndoa wakati mume wa kwanza yu hai.
Alimvuruga sana Ndikumana wa watu hadi mpira ukamshinda
 
Huyo mwanaume ana sura mbaya kama hamorapa maana wewe dada yetu sheila huwa hupend wanaume wenye sura nzur

Ila tu isije kuwa unacheza move za ray na stev kanumba
Mkuu,watoto wa kike ndio wanajua nani ana sura nzuri au mbaya,wewe yamekukuta yapi tena?
 
Msanii wa Bongo Movie Irene Uwoya Sasa rasmi amebadili Dini yake ya awali na kuwa Muislamu na kutumia Jina la Sheila. Msanii huyu amechukua uamuzi Huu baada ya kupata bwana Mwenye Imani ya Kiislam Ambao bado hajaweka wazi Kama ndoa tayari ishafungwa Ila Kuna sherehe ya ndoa yao itayofanyika Ijumaa Ya 27.10.



Ikumbukwe Irene ni mtalaka Wa mwanamichezo WA mpira wa miguu Ndikumana Kutoka nchini Rwanda na walibarikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume.



Hizi ni baadhi ya picha katika maandalizi ya ndoa Yake mpya
View attachment 616620 View attachment 616621

Hii ni kadi ya Mwaliko wa Reception aliyowapatia watu wake wa Karibu watakaojumuika naye Kwenye sherehe yake.
View attachment 616623 View attachment 616624
huyo ndio kakubali kukumbana na harufu nzuri ya K
 
Kuna Wanaume wajinga na wabinafsi sana nani amewaambia mtoto mzuri kama Uwoya ni wakuoa?mkitendwa mnalialia kuna watoto waliletwa kuburudisha wanaume alafu mijitu inataka wawe wao peke yao
 
Back
Top Bottom