Huyu kaka si balozi wa tz huko china au?kama huyu bora wanaendana na ni mkaka mzuri
Balozi alikuwa kipindi cha jkTatizo sio kuendana bali utulivu ziro wa uwoya. Hope ndoa hii atapumzika.
Mmh china si balozi ni mume wa waziri kairuki
Kamuolea salaah
Si inabidi waseme hivyo kama walivyoambiwa na uwoya ila hii ndoa dogo janja atakua kapewa hela nyingi sana na salaahZamaradi mkurupuko,katoa hongera kwa uwoya na dogojanja
Si inabidi waseme hivyo kama walivyoambiwa na uwoya ila hii ndoa dogo janja atakua kapewa hela nyingi sana na salaah
Mbona hadi caption za Intsa wanaiganaa..!??? Uwoyaa angekuwaa anaolewa na huyo jamaa asingekuwa na haja ya kufichaaa... hana lolotee dogo janja ndo anamlaaa
Mange mpaka awe na uhakika na vitu ngoja tuoneMjini kuishi kwa dili hadi raha
Nasubiria wivu umpande bibi usipitwe ili ashushe maumbea ya ndoa ya uwoya naona saiv ka paste post ya zama na kupongeza kinafiki
Maana danube wamemlima barua hamisa aache kuchezea video zao
Mange mpaka awe na uhakika na vitu ngoja tuone
Huyu kaka anamiliki danube?ndio wenye gsm si ndioMzee wa Danubee
Hao hao maaaHuyu kaka anamiliki danube?ndio wenye gsm si ndio
Huyo si unajua na yule mbongo flavour walivyo maswahiba eenh tunaongea kwa code ujue ndio anamuweka mjiniHuyu kaka anamiliki danube?ndio wenye gsm si ndio
Mmmmh ndio maana bi tukinao akapewa ubalozi ama,?halaf huyu kaka kuna kipindi alitoka na wema wakaenda hadi china ,wema ,wolper na dada yake huyu kaka yule sweet rola nadhan kama sijakoseaHuyo si unajua na yule mbongo flavour walivyo maswahiba eenh tunaongea kwa code ujue ndio anamuweka mjini
Sio mbongo flavour wa bi tukinao ujue mbongo flavour yule mwenye vishimo ujue si wanasemaga ndio sponsor wake huyo wa kila kituMmmmh ndio maana bi tukinao akapewa ubalozi ama,?halaf huyu kaka kuna kipindi alitoka na wema wakaenda hadi china ,wema ,wolper na dada yake huyu kaka yule sweet rola nadhan kama sijakosea
Teh teh teh [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]embu acheni upuuzi, huyu dogo hawezi kuvaa viatu vya ndikumana labda kama wanasagana
Sasa apewe talakaaa na nani..!?? Picha za irne na dogo janja au!!?Mkuu nani haogopi talaka kabla au usiku wa ndoa wee lazima awe mpole kwanza. Kucharuka baadae(picha atazisambaza mwenyewe kwa global maana hao ndo anawatumia sana kujipaisha)
Yes nimeona sehemu aisee wanasema irene na vishimo wanashea dudu kwa huyo mwarabuSio mbongo flavour wa bi tukinao ujue mbongo flavour yule mwenye vishimo ujue si wanasemaga ndio sponsor wake huyo wa kila kitu
Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mamboYes nimeona sehemu aisee wanasema irene na vishimo wanashea dudu kwa huyo mwarabu