Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Status
Not open for further replies.
Na ndoa aliipania kweli ila sasa awe mvumilivu la sivyo atachomoka humo kachoka kuliko alivyomkondesha ndiku wa watu.
Pesa mama ukitaka mjini huonekane boss lady ndio inabidi mshee mpaka na makaka dada anataka kwenda ibiza na yeye
 
nyie mshangaeni tu dogo mwenzenu anapewa kitu mnato huko
 
Mimi nikisema naambiwa nina wivu aya sasa oneni wenyewe matapwariko hayo
 
Daaaaah!! Kama namuona vile dogo janja - huyo mwanamama anaonekana yuko njema sana kunako kuto.mbana ,idara ya kula koni ndio yaonekana si haba mamaeee
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom