Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Sasa cha kufanya mkuu ule uzi wako upandishie hapahapa yani iwe uzi juu ya uzi dadadadadeeikk!!Mods wamefuta uz wangu wakaruhusu huu kwanini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa cha kufanya mkuu ule uzi wako upandishie hapahapa yani iwe uzi juu ya uzi dadadadadeeikk!!Mods wamefuta uz wangu wakaruhusu huu kwanini
Irene.ni fupa lililomshinda fisi.sasa dogo amengiza kichwa ktk mashine ya kukobolea magogo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].hapa ndio naamini akili za wanawake wanazijua wenyewe kamdanganya dogo sijui 07[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]tetesi Mara paaap ni kweli dongo janja amefunga ndoa na irene uwoya![]()
Mkuu umeua yani Chalii ya R asagane kweli?embu acheni upuuzi, huyu dogo hawezi kuvaa viatu vya ndikumana labda kama wanasagana
Kuku, kuku tu jongoo jinaHivi mnajua siamini,,dogo janja ana miaka mingapi si kavulana kabisa hakp rika la young d
HahahahaaHawa mod siwaelewi aisee yaan nyuz zangu wanakuwa wanazifuta bila sababu
Mimi nilitoa ule uz nikiwa na ushaid wa bongo planet ya eatv huyu kaweka huu uz hana hata ushahid na wameuacha
Hahahahahhaaaaaa!! Mange Kimambi ana vichwaIvi hii nikweli au wanatania tu
Mkuu mzee gani huyo wa mativii?Mbona hamkumshangaa yule mzee wa TV?
Halafu huwa na hisia mbaya sana huyu mchizi kuwa around na crew ya washtaki wa tigo hasa yule jamaa mbondei wa muheza mwenye mwanya maana ni mchizi wake sana mwarabu mpaka.najiulizaga huyo vishimo na haleti chemistry inayoelewa akiwa na washkaji .😳 😳 😳 kwahiyo vishimo anamzidi irene kwa utamu
Ashaumia huyo maza janja shauri yake.ila kama ni.kweli...dogo atafaidi sana hili limama...maana huyu demu mwenyew alikuwa ananitoaga udenda.toka nilipoonaga ile muvi yake ya Oprah.dah! dogo janjaaaaaaa,unaenda kulimanua li uwoya kiutani tani hivi hivi aise.
kwa mujibu wa sami missago anadai ni dogo janja sizani kama nae atakuwa amekoseaNimeanza kuamini hii kitu ni ya Sallah,seriously ingekua janjaro ndio ameoa sidhani kama rais wa manzese Madee angeacha kumpongeza mdogo wake
mwanaume hazeekiMbona hamkumshangaa yule mzee wa TV?
Una hamu ya kupwelepwetwa etiii...![emoji125][emoji125][emoji125]ngoja na mimi nijipendekeze kwa Miss natafuta huenda nikabahatisha
hahahahahhahahhahaahUna hamu ya kupwelepwetwa etiii...![emoji125][emoji125][emoji125]
papauchi haina makombo kama ingekuwa hivyo kwasababu siku hizi bikra ni nadra kupatikana basi tulio wengi tunakula makombo ukiwemo na wewehuyo ni zaidi ya makombo,sifa kajiharibia mwenyewe kwa kutokua na akili toka akiwa na umri mdogo.kapoteza muda huko kuruka ruka,kashakua bibi anashtuka kuanza saka ndoa.
kanumba mchawi yule sio bureBongo movie iliondoka na kanumba.Sasa hivi wanaigiza maisha yao.
Mwenye sura ,umbo zuri na bahati ndiye anayetoboa cyo kipaji
Inawezekana maana salah anapenda sana matakoSs dogo janja ana hela gan?,aisee kwa tetesi huyo ni mke jamaa mmoja wa hapo Daslamu anaitwa Sallah ambae ambae ameamua kuhalalisha ufirauni ...
[emoji23] [emoji23] [emoji23]embu acheni upuuzi, huyu dogo hawezi kuvaa viatu vya ndikumana labda kama wanasagana
Daaaah aisee nimecheka sanaaila kama ni.kweli...dogo atafaidi sana hili limama...maana huyu demu mwenyew alikuwa ananitoaga udenda.toka nilipoonaga ile muvi yake ya Oprah.dah! dogo janjaaaaaaa,unaenda kulimanua li uwoya kiutani tani hivi hivi aise.