Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
Kishimo ndio nani shem? [emoji41]Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kishimo ndio nani shem? [emoji41]Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mambo
Ewaaaaaaa na mwarabu ndio huyooo na mpaka irene alikuwa na beef na mwarabu amwache kishimo anaanzaje kumuacha mjini pana mambo
Ameona nyota ameamua kuifuata!Dogo janja alisema alimzimikia Irene long time. Si kujua kuwa Irene ameamua kumpa tamu
Nyinyi manaharibia madada wa watu sifa. Halua haina makomboMwanaume gani timamu,ataoa huyo dada,mwanamke kagongwa na kila mtu mjini,acha acheze na watoto huko.
Dogo janja alisema alimzimikia Irene long time. Si kujua kuwa Irene ameamua kumpa tamu
Nyinyi manaharibia madada wa watu sifa. Halua haina makombo
tetesi Mara paaap ni kweli dongo janja amefunga ndoa na irene uwoya![]()
huyo ni zaidi ya makombo,sifa kajiharibia mwenyewe kwa kutokua na akili toka akiwa na umri mdogo.kapoteza muda huko kuruka ruka,kashakua bibi anashtuka kuanza saka ndoa.Nyinyi manaharibia madada wa watu sifa. Halua haina makombo