Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Tetesi: Irene Uwoya afunga ndoa na Dogo Janja?

Status
Not open for further replies.
Irene kafuata pesa,dogo akiishiwa atatoswa tu
Ss dogo janja ana hela gan?,aisee kwa tetesi huyo ni mke jamaa mmoja wa hapo Daslamu anaitwa Sallah ambae ambae ameamua kuhalalisha ufirauni ...
 
Irene ndo anakojoleshwa na huyu Jamaa,laanatul?

Irene amesahau mafundisho ya Biblia kuhusu Mbingu?Kweli anaolewa na mtu wa mataifa asiyemjua Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wake?
Mwenzio na Yesu mwenyewe kamkana kabadili na dini kabisa.

Hawa waigiza wako tayari kufanya lolote in the name of money.
 
IMG-20171029-WA0089.jpeg
IMG-20171029-WA0102.jpeg
Mwanaume mashineeee
 
Nahisi bimkubwa hajatoa ruhusa ya kuletewa mke mwingine au ni masharti ya bwana harusi so uwoya akaona bora amweke dogo janja kuziba maneno mengi

Tutakomaje kwa showoff maana siku hizi kila mdada anataka kuwa bosslady
....kuwa maBOSSLADY
kwa mtaji wa K
 
Zamaradi mkurupuko,katoa hongera kwa uwoya na dogojanja
Siamini tangu jana asubuhi hamna mtu alieletA credible source ya janja kukanusha au kukubali hili swala, pia woya naye hajaonekana kukubali wala kukanusha kana kwamba hii sintofahamu inayoendelea kwenye mitandao ya kijamii waWaoni,hawasikii,hawajaambiwa
Ndipo hapo uwezekano wa hili jambo kuwa kiki ni mkubwa mno kuliko kuwa halisi......
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom