Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

Tetesi: Irene Uwoya anatoka na GSM

Status
Not open for further replies.
Na ULIVYOWAKAZANIA mkuu uyafikiri unalipwa/kufaudika na chochote kama wewe unatoa tobo ivi unafikiri kutoa mali kwa mwanaume mwenzako ni kazi ndogo?? Yaani unawachafua watu utafkr uliwai kuwaona labda wanakulana?? Mkuu ata kama wanabanduana wafichie siri basi yaani unavyoandika kwa FURAHA kuwa flani analiwa inaonekana kwako ni jambo la FURAHA SANAA AISEE
Wee nitoleeee ujinga wako hapa? Hasira za nn? Wanaliwa ndyooooo.
Haya unatakaje sasa??
 
Irene wala hatoki na Rais wa Kenya kama wengine wanauosema. Irene Uwoya anatoka na Rais wa GSM AKA Mmiliki wa yanga, GHALIB.

Wana nyumba yao special kwa ajili ya kulutana na kufanya yao. Yani Irene haishi in that house ila ni kwa ajili ya kumeet tu Wakitaka kuwa free huwa wanasafirI.

Irene na yeye sasa hivi anachezea hela ya Ghalib kama . (hiyo ni topic ingine for another day.

lla unaambiwa anapendwa na Ghalib balaaa.

Wakitaka kuwa ftee hao wanasafiri tena hawasiflri ndege moja. Yani ni mapenzi ya Sirl mnooo, feel bad kuwaambieni maana ni kama namwaribia flani ila sasa ndo ajira yangu ntafanyaje?? Cha msingi ni kwamba simsingiziii mtu jambo.

Ndo hivyo jamani Irene kwa sasa mnaweza kumuita Mrs. Yanga,


lla jamani hakuna sponsor anajua kumpa mchepuko good time kama Ghalib_ maana nikiwaangalia na wenzie Irene wooote wanakula bata refuuuuuuu,

Mi ushauri wangu ni mmoja tu. Irene fanya ya maana na hiya pesa ya mwarabu, hakuna Star aliechezea pesa Tz kama Wema Sepetu.

Wema alitakiwa awe na ma-apartments ya kutosha. lla si haba now kaamka and she is trying. ila watanzania ni wambea nyie, mmenidai hii habari utasema deni?
View attachment 2059502

View attachment 2059503
Umesema hayo Mapenzi Ni Siri lakin wewe unayajua? Kwann wanawake hampendani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom