Irene Uwoya apata msiba

Irene Uwoya apata msiba

Mzee Mzima

Senior Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
159
Reaction score
47
Irene Uwoya apata msiba wa baba yake mdogo ambaye ni padre, huyu padre ndo alisafiri toka moshi kuja dar kufungisha ndoa ya Irene na ndikumana, mungu amrehemu padre uwoya, kafariki jana katika hospitali ya huruma alipokuwa amelazwa kwa matatizo ya kisukari, padre uwoya alikuwa ni lecturer wa mathematics pale mwenge university moshi. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.
 
Huu ugonjwa wa kisukari umekuwa tishio yaani unaua kuliko hata ukimwi.Mungu akulaze unapostahili
 
RIP Rev. Fr. Paschal Uwoya, so sad.
Nasikia alikua msuluhishi wa ndoa ya binti yake. Umeacha pengo kubwa kwa familia yenu, ndugu na wanafunzi wako.
Mungu akulaze unapostahili.
 
huyu binti kumba alikuwa na ndg yake padre? huyo padre alikuwa ana aibikaje afadhali ameenda kupumzika huko mbinguni ameachana na karaha za maskendo ya kabinti chake kafuska
 
duh!!!!?!?!!??

mbele ya kifo hautambi...
Kifo ni kiboko yaooo...

R.I.P Dr Remmy
 
huyu binti kumba alikuwa na ndg yake padre? huyo padre alikuwa ana aibikaje afadhali ameenda kupumzika huko mbinguni ameachana na karaha za maskendo ya kabinti chake kafuska

eeish!!!
 
kati ya mapadre wa jimbo la moshi mweye heshima,upole,utashi ni fr uwoya
he was my teacher nikiwa O level katika seminary ndogo jimbo la moshi.
sina hakika kama kweli ni ndugu yake Irene Uwoya ila majina yanafanana
ametujenga wengi kimaadili na taaluma hasa hesabu na muziki.
hadi kifo chake alikuwa mkuu idara ya hesabu chuo kikuu Mwenge
 
tumepoteza mwanataaluma aliyebobea kwa kweli.r.i.p father.
 
kati ya mapadre wa jimbo la moshi mweye heshima,upole,utashi ni fr uwoya
he was my teacher nikiwa O level katika seminary ndogo jimbo la moshi.
sina hakika kama kweli ni ndugu yake Irene Uwoya ila majina yanafanana
ametujenga wengi kimaadili na taaluma hasa hesabu na muziki.
hadi kifo chake alikuwa mkuu idara ya hesabu chuo kikuu Mwenge

Lokissa, alikua ni baba mdogo/mkubwa wa Irene na pia ndiye aliyemfungisha ndoa na Ndikumana.
Hata mimi alikua ticha wangu wa hesabu.
 
huyu binti kumba alikuwa na ndg yake padre? huyo padre alikuwa ana aibikaje afadhali ameenda kupumzika huko mbinguni ameachana na karaha za maskendo ya kabinti chake kafuska

toa kwanza boriti kwenye jicho lako.................
RIP fr Uwoya
 
Back
Top Bottom