Mzee Mzima
Senior Member
- Mar 31, 2008
- 159
- 47
Irene Uwoya apata msiba wa baba yake mdogo ambaye ni padre, huyu padre ndo alisafiri toka moshi kuja dar kufungisha ndoa ya Irene na ndikumana, mungu amrehemu padre uwoya, kafariki jana katika hospitali ya huruma alipokuwa amelazwa kwa matatizo ya kisukari, padre uwoya alikuwa ni lecturer wa mathematics pale mwenge university moshi. Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina la bwana lihimidiwe.