warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nimeona video irene kapost insta akipokea baraka kutoka kwa wakwe zake, video inagusa sana, amejishusha mwenyewe na kujinyenyekesha kama mtu vile, ila bongo movie kwa kuigiza tu hamjambo, mxiew.
Ila nadhani kitendo alichokifanya uwoya ni cha nidhamu, nadhani hata marehemu huko aliko atakuwa kamsamehe na kuruhusu mkewe aendelee na maisha yake, kama wazazi wameamua kumpa baraka mkwe wao nadhani irene hana deni na familia ya marehemu.
Ila mama uwoya ana hekima sana yule mama, tofauti na mama kivuruge na mama sepenga na mama kanumba