Irene Uwoya Apewa Baraka Ukweni

Irene Uwoya Apewa Baraka Ukweni

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Nimeona video irene kapost insta akipokea baraka kutoka kwa wakwe zake, video inagusa sana, amejishusha mwenyewe na kujinyenyekesha kama mtu vile, ila bongo movie kwa kuigiza tu hamjambo, mxiew.

Ila nadhani kitendo alichokifanya uwoya ni cha nidhamu, nadhani hata marehemu huko aliko atakuwa kamsamehe na kuruhusu mkewe aendelee na maisha yake, kama wazazi wameamua kumpa baraka mkwe wao nadhani irene hana deni na familia ya marehemu.

Ila mama uwoya ana hekima sana yule mama, tofauti na mama kivuruge na mama sepenga na mama kanumba
 
Maiti hana mamlaka ya kusamehe au kutosamehe waliobaki ndo kila kitu

Irene ilikua ni lazima ajishushe na ndo utu ulivyo na nidhamu ya kibinadamu

Wengine msiba uko ndani wanaanza kulilia Mali wamepaka na mekapu uso umeng'araaa
Hahaaaaa!Baada ya wiki wanaweka tupu nje eti wanapunguza mawazo!
 
Nimeona video irene kapost insta akipokea baraka kutoka kwa wakwe zake, video inagusa sana, amejishusha mwenyewe na kujinyenyekesha kama mtu vile, ila bongo movie kwa kuigiza tu hamjambo, mxiew.

Ila nadhani kitendo alichokifanya uwoya ni cha nidhamu, nadhani hata marehemu huko aliko atakuwa kamsamehe na kuruhusu mkewe aendelee na maisha yake, kama wazazi wameamua kumpa baraka mkwe wao nadhani irene hana deni na familia ya marehemu.

Ila mama uwoya ana hekima sana yule mama, tofauti na mama kivuruge na mama sepenga na mama kanumba
Education matters msomi mwenye status yake mjini asiye na makuu
Pesa anaitafuta mwenyewe kwa jasho lake

Usimfananishe na hao waswazi!
 
Kwel mama uwoya ni mstaarabu sana sana nahic yy kachangia kwa kiasi kikubwa kumfanya mwanae ajishushe
 
Irene nampendea kiboga... Maana ana roho nzuri anatoa yoooote, mweeee unafukuaaaaaaaaa hadi hutoki yaani wala huwezi muacha, sio mchoyo kabisa, sikai nae mbali aisee.. 😛😛😛😵😵 [HASHTAG]#Siachikukunanazi[/HASHTAG]
 
Mama uwoya inaonekana ni mama mwenye busara sana basi tu malezi yake yametiwa doa na tabia za bintie.
 
Back
Top Bottom