Irene Uwoya athibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja

Irene Uwoya athibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja

dah kweli akili ni nywele kila mtu ana zake,
mambo ya kubemendwa dogo haya
maza fanta kabisa
 
[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
 

Attachments

  • Kwani+kuna+ubaya+gani+irene+wangu+kuwa+na+watoto+wawili__monkey_.jpg
    Kwani+kuna+ubaya+gani+irene+wangu+kuwa+na+watoto+wawili__monkey_.jpg
    83.6 KB · Views: 221
Kama ni kweli basi bahati mbaya wakapewa hilo sharti gumu shubamitii
 
Haya manamake ya Bongo movie hayana lolote jipya yanachojua ni kufanya ujinga ujinga ili waonekane wapo hai bado.

Bora lulu yeye anacheza sasa hivi filamu ya ukweli.
 
Eti a man of my dream!! yaani Irene alipofikisha miaka kumi na tano huyo anaemwita a man of her dream akazaliwa, ndo anatuambia kuwa ameota man wake kazaliwa[emoji196] [emoji196] [emoji196]
 
Nikitoboa Madamme Rita ajiandae!!
 
Wadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake

Diamond na zari wake

Dogo janja na uwoya gap miaka 10
Shakira kamzidi Gerard Pique miaka 10.
 
wek
Wadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake

Diamond na zari wake

Dogo janja na uwoya gap miaka 10
muongeze na harmonizer list itakuwa imekaa vizuri
 
Back
Top Bottom