pirrate of the carribean
Member
- Aug 30, 2017
- 9
- 9
Mmmhh haya bhana kikubwa kupendana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa
Sawa
Naomba niwaulize nyie mmeona picha ya wao wakiwa wawili katika hiyo harusi?? kama mmeona iwekenj hapa tujue basiDogo janja athibitishe hili kama sahihi
Mtoto wa kiume acha umbea!!!....au wewe ni mwanaume wa Dar???Naomba niwaulize nyie mmeona picha ya wao wakiwa wawili katika hiyo harusi?? kama mmeona iwekenj hapa tujue basi
Umbea gani sasa kutaka kuona picha ndio umbea?Mtoto wa kiume acha umbea!!!....au wewe ni mwanaume wa Dar???
Wanajua kuwakojozaWadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake
Diamond na zari wake
Dogo janja na uwoya gap miaka 10
Wanajua kuwakojozaWadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake
Diamond na zari wake
Dogo janja na uwoya gap miaka 10
Mwache bebi wangu bwana mwanaume una gubu weweMtoto wa kiume acha umbea!!!....au wewe ni mwanaume wa Dar???
Shakira kamzidi Gerard Pique miaka 10.Wadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake
Diamond na zari wake
Dogo janja na uwoya gap miaka 10
muongeze na harmonizer list itakuwa imekaa vizuriWadada watu wa zima Siku hizi sijui wamegundua nini kwa vijana wadogo
Joti mke wake mkubwa miaka 5 zaidi yake
Diamond na zari wake
Dogo janja na uwoya gap miaka 10