Irene Uwoya athibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja

Irene Uwoya athibitisha kufunga ndoa na Dogo Janja

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Ameyasema hayo leo kupitia ukurasa wake wa istagram
Hatimaye lile swali na kutaka kumjua bwana harusi limepata majibu kutoka kwa muhusika mwenyewe

Screenshot from 2017-10-30 12-56-40.png
 
Tatizo huo uongo wao unajichanganya,yaani ni afterthought...kadi yao ya mwaliko ina jina la yousouf lakini dogojanja jina halisi ni abdul-.....madee kaja kutoa hongera baada ya masiku kadhaa kupita! I bet this is a game.

Mpaka sasa hakuna ushahidi wa moja kwa moja juu ya wawili hawa...yaani kama kesi ya Lulu tu...ushahidi bado ni wa kimazingira tu,tena mazingira yenyewe ni tata/doubtful.
 
HA HAA, KWELI?
JAANJARO NGARENARO REPUBLIC, UUMBWA.
 
aisee huyu calii si angeenda kule kule endarofta kuchukua watoto wa kimbulu aisee kuliko kuchukua huyo manzi aisee,
kwani chaliii alikosaga kabisa mademu aisee,
yaani kachukua ngoro kabisa aisee,hii sio pa kabisa challii yetu sisi watu wa ara ametudhalili dhalilisha kweli.
 
Back
Top Bottom