Irene Uwoya azua timbwili kwa mume wa mtu

Irene Uwoya azua timbwili kwa mume wa mtu

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
NYOTA wa sinema za Kibongo, Irene Pancras Uwoya amesababisha tena ! Safari hii amekinukisha nyumbani kwa mwanaume aliyewahi kuwa mpenzi wake ( jina tunalo) kufuatia jamaa huyo kufunga ndoa na mwanamke mwingine na kumfanya Uwoya kuendelea kuwa ' nyumba ndogo ' . Kwa mujibu wa chanzo chetu, ishu hiyo ilichukua nafasi juzikati, nyumbani kwa mwanaume huyo, Sinza- Mori jijini Dar es Salaam.

MCHEZO ULIVYOKUWA

Chanzo kilidai kwamba , siku ya tukio , Uwoya akiwa na baadhi ya mastaa wenzake ( hawakutajwa) kwenye kambi ya maandalizi ya kurekodi filamu mjini Bagamoyo , Pwani, alipokea simu iliyomnyetishia kuwa , mpenzi wake huyo amefunga ndoa na mwanamke mwingine jijini Mwanza , kwa hiyo yeye aliye tu !

UWOYA ACHANGANYIKIWA

"Uwoya alipopata salamu hizo kwa njia ya simu alichanganyikiwa ! Alianza kusema maneno ya kumshutumu waziwazi huku akiangua kilio . Mbaya zaidi aliyemjulisha ishu hiyo alisema ndoa hiyo ilishafungwa na si kwamba ipo kwenye maandalizi . "Akasema anaondoka kambini kumfuata jamaa yake na kwamba atamtambua kwani nia yake ilikuwa kwenda nyumbani kwake kumfanyia fujo na huyo mke mpya , " kilisema chanzo hicho cha uhakika . Nyumba anayodaiwa kufanya fujo

AANZIA DUKANI

Chanzo kilizidi kudai kwamba, licha ya wasanii wenzake kumsihi asichukue hatua hiyo anaweza kuishia polisi , Uwoya hakukubali, aliondoka kwa hasira na breki yake ya kwanza ilikuwa kwenye duka kubwa la jamaa huyo lililopo Mikocheni , Dar ambapo alifanya fujo. "Kule alipogundua huyo mwanaume wake hayupo ndiyo akaondoka hadi nyumbani kwake, Sinza ambako aliendeleza fujo zake kwa kutukana na kutishia mambo mengi, " chanzo kilisema .

HASIRA PEMBENI

Kwa mujibu wa chanzo, ni dhahiri kuwa , Uwoya aliondoka eneo hilo baada ya kuanza ' kujaza nzi ' ( watu kuwa wengi ) ambapo aliondoka mdogomdogo na kama hana hasira utadhani si yeye aliyekuwa akichafua hali ya hewa .

MATEGEMEO YAKE

Habari za ndani ziliendelea kudai kuwa , Irene alishikwa na hasira za jamaa huyo kuoa kwa vile alikuwa akiamini zali hilo lingetua kwake baada ya ndoa yake na msakata kabumbu wa Rwanda, Hamad Ndikumana ' Katauti' kwenda halijojo! "Uwoya alitegemea angeolewa yeye, sasa kusikia jamaa kaoa mwanamke mwingine tena kwa siri, ilimfanya aishiwe nguvu ," kilisema chanzo.

ALICHOAMINI

Habari zinazidi kudai kwamba, alichoamini Uwoya ni kwamba kitendo cha mwanaume huyo kuoa kingemfanya yeye aendelee kuwa ' nyumba ndogo ' jambo ambalo hakupenda kulisikia hata kidogo .

UWOYA HUYU HAPA

Baada ya gazeti hili kunyetishiwa filamu nzima, lilimsaka staa huyo na kubahatika kukutana naye maeneo ya Sinza Palestina jijini Dar ambapo alikiri kutokea kwa tukio hilo na kusema kwamba, alishaachana na mwanaume huyo. "Ilitokea, lakini nilishaachana naye . Unajua ishu si kwamba angenioa mimi , ila kitendo alichokifanya hakikuwa cha uungwana , " alisema Uwoya .

AMWANGA CHOZI

Katika hali isiyotarajiwa , msanii huyo alianza kumwaga chozi bila kusema sababu hata pale alipoulizwa kama chozi hilo lilitokana na kukumbuka tukio la jamaa yake kufunga ndoa kwa siri au la! Uwoya: "We niache tu , nina mambo mengi sana yanayoniliza mimi ." Kwa upande wake mwanaume huyo alipopatikana kwa njia ya simu na kueleza ishu nzima alijibu kwa kifupi: "Haiwahusu ." Kisha akakata simu.
 
Jaman wanawake wa mjini hawa!yeye si yuko na msami kila siku kujishow off insta?sasa analia nini???
 
Jaman wanawake wa mjini hawa!yeye si yuko na msami kila siku kujishow off insta?sasa analia nini???

Analia anamkumbuka ----- wake ndikumana maana wanachomfanyia watoto wa dar hana hamu , si alisemaga hakumpenda mume wake et ana sura kama nyani, mwache aende kwa kina msami wamuonyeshe u handsome ulivyo
 
Binamu huyo mwanaume hujamjua ututajie au

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Binamu umbea haujakamilika.
Huyo mwanaume nani?
Leo npo ig kwenye michambo ya mange

Mi mwenyew sijamjua bado, we tulia soon tutamjua

Dah mange anatia huruma leo, anahangaika ku post kwenye page yake kujisafisha dah wat wabaya sana, naona mtaa wa pili leo sherehe na vigodor juu chakubimbi kapatikana leo
 
Analia anamkumbuka ----- wake ndikumana maana wanachomfanyia watoto wa dar hana hamu , si alisemaga hakumpenda mume wake et ana sura kama nyani, mwache aende kwa kina msami wamuonyeshe u handsome ulivyo

Yaani alimfanyia vibaya mume wake ndo anavuna alicjopanda sasa na atalia sana
 
Yaani alimfanyia vibaya mume wake ndo anavuna alicjopanda sasa na atalia sana

Eti analia ana mambo mengi, manina na bado mwaka huu, chezea watoto wa mujini, anachezewa wenzie wanaolewa safi sana
 
Eti analia ana mambo mengi, manina na bado mwaka huu, chezea watoto wa mujini, anachezewa wenzie wanaolewa safi sana

Mambo mengi wapi aende zake uko...anafikiri wanaolewaolewa tuu analia anamkumbuka mwenyewe kasema ana sura ka nyani hahahahahaaa mastaa wa bongo wana vituko sana yaani
 
Mambo mengi wapi aende zake uko...anafikiri wanaolewaolewa tuu analia anamkumbuka mwenyewe kasema ana sura ka nyani hahahahahaaa mastaa wa bongo wana vituko sana yaani

Nyani wa watu kashajiondokea kamuacha huyo anayejifanya binamu ale bata vizur, na huyu nya nkomwe mwaka huu lazima aipate fresh
 
Analia anamkumbuka ----- wake ndikumana maana wanachomfanyia watoto wa dar hana hamu , si alisemaga hakumpenda mume wake et ana sura kama nyani, mwache aende kwa kina msami wamuonyeshe u handsome ulivyo

Yani nilikua nampenda uwoya sana,lakini tokea amfanyie ndiku vile nimemchukia sana,ni zaidi ya unyama aliomfanyia yule mrundi wa watu
 
Warumi huyo mwanaume ni mpemba mmoja hivi anaitwa Ababuu anakaa sinza mori tulikuwa jirani mtaa mmoja mimi sijahamia kibamba. Uwoya alikuwa anaenda sana mori kusimamia mjengo wa jamaa wa ghorofa na hata ulipoisha nilikuwa nawaona pamoja na ababuu. Uwoya alikuwa anapika na kupakua hapo na kulala kama mke kabisa. Sijui viliishiaje sasa mpaka nasikia uwoya na msami mara ababuu kaoa. Duu mastaa wa bongo movie wana mambo.
 
Gorofa pia limewekwa kwenye picha ya habari. Hivi ndoa si haijavunjwa??
 
Wanaume hua wana akilii aoe malaya alivyomfanyia ndikumana anadhan watu hawajuiii,si aendelee na dogo dogo wake yule wa soundtrack au
 
Warumi huyo mwanaume ni mpemba mmoja hivi anaitwa Ababuu anakaa sinza mori tulikuwa jirani mtaa mmoja mimi sijahamia kibamba. Uwoya alikuwa anaenda sana mori kusimamia mjengo wa jamaa wa ghorofa na hata ulipoisha nilikuwa nawaona pamoja na ababuu. Uwoya alikuwa anapika na kupakua hapo na kulala kama mke kabisa. Sijui viliishiaje sasa mpaka nasikia uwoya na msami mara ababuu kaoa. Duu mastaa wa bongo movie wana mambo.

Mmh uwoya naye kawa malaya siku izi, mara ababuu,mara mwami mara msami mmh, ghorofa lenyew la maana binamu ana haki ya kufanya timbwili, mwenyew kadanganywa wataishi wote watu wamejichukulia vitu vipya, anayetaka kuweka ndan malaya kama uwoya nani, bongo movie wote kinyaa tu
 
Back
Top Bottom