Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Ngoja binamu nikurushie na picha, raha ya umbea uone na tukio lenyewe japo kwa picha
Binamu na sisi tuwekee hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja binamu nikurushie na picha, raha ya umbea uone na tukio lenyewe japo kwa picha
Mmh uwoya naye kawa malaya siku izi, mara ababuu,mara mwami mara msami mmh, ghorofa lenyew la maana binamu ana haki ya kufanya timbwili, mwenyew kadanganywa wataishi wote watu wamejichukulia vitu vipya, anayetaka kuweka ndan malaya kama uwoya nani, bongo movie wote kinyaa tu
Yaan aoe presha ameona aoe mke mwema alie tuliaaa,uwoyaa sio wa kuoa ni wa mapumziko
Yaan aoe presha ameona aoe mke mwema alie tuliaaa,uwoyaa sio wa kuoa ni wa mapumziko
Mama shipping cost naona leo atalazwa kwa pressure, kwanza kala vichambo vya haja pili biashara yake imeharibiwa yani simpatii picha hiyo mi hasira yake na watu washajua janja yake
Leo mpaka atataja member wote wa jamii bila kuacha hata mmojaa
Mama shipping cost anakwambia mnigeria anatafuta kick kupitia mgongo wake, mmh ila binamu namuonea huruma kweli mama shipping cost yani leo blog ya mwafulani siipatii picha vichambo
Mmh ila mange mtata nyie mh anavyochamba sasa dah halafu mkavu huyo hatar
Mmh ila mange mtata nyie mh anavyochamba sasa dah halafu mkavu huyo hatar
Me mwenyewe ningelia jamani, yani nimesimamia mjengo hadi umeisha, nshaanza kujipiga na selfie ndani ya mjengo afu leo anakuja kuletwa mtu mwingine jamani inaumaaaaaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mama shipping cost naoa hana habare toka saa kumi na mbili hasubuhi ana post mipicha tu ya biashara yake mmh mange kweli kiboko yule
Binamu katuhamishie maubuyu huku kule kwa mange kaweka mapicha ya kufa mtuu anachamba yuleeee kama una moyo mdogo unaweza kufaa haki ya naniii