Irene Uwoya: Diamond mrithi wa Michael Jackson

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Staa classic wa bongo movie irene pancras uwoya, ameandika kwenye mtandao wa instagram kuwa msanii anayefanya vizuri bongo fleva,nassib abdul au diamond ndiye msanii atakayemrithi mkali wa pop duniani michael jackson,kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mashabiki ambao wali comment kuwa diamond hawezi fikia level za michael hata afanyaje...
SOURCE:instagram
 
Anajifariji kua ame date na MJ. Diamond mwenyewe ktk dance amekua inspired by Mj.
 
Staa classic wa bongo movie irene pancras uwoya, ameandika kwenye mtandao wa instagram kuwa msanii anayefanya vizuri bongo fleva,nassib abdul au diamond ndiye msanii atakayemrithi mkali wa pop duniani michael jackson,kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mashabiki ambao wali comment kuwa diamond hawezi fikia level za michael hata afanyaje...
SOURCE:instagram

nafikiri anatumia haki yake vizuri ya uhuru wa kutoa maoni
 
Joh makini anasema bongo movies taaluma........
 
Staa classic wa bongo movie irene pancras uwoya, ameandika kwenye mtandao wa instagram kuwa msanii anayefanya vizuri bongo fleva,nassib abdul au diamond ndiye msanii atakayemrithi mkali wa pop duniani michael jackson,kauli iliyozua utata kwa baadhi ya mashabiki ambao wali comment kuwa diamond hawezi fikia level za michael hata afanyaje...
SOURCE:instagram

uuuuwiiiiiiiii anachekesha kwelkwel
 
Kusoma raha sana...mawazo ya darasa la 4 haya !!! Diamond awe kama michael jackson?
 
hakika irene uwoya amemkosea sana MJ
 
kweli mguu watoto wa Diamond unawalewesha warembo,hongera Diamond kwa kuwakaza vizuri hadi wanakupa sifa usizostahili:first:
 
Labda Alikua na maana ya Ally Baucha maanake naye anachezaga ka michael jackson
 
Duh hajamfikia hata robo, king of pop ni namba nyingine!
 
Mamtoni yenyewe sioni wakumfananisha na MJ

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ndege wafananao ndio warukao pamoja...
 
Back
Top Bottom