maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Kama Chelsea ilivo na wakati mgumu msimu ujaoJf inapitia kweye kipindi kigumu sana kwa sasa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani
Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji aliemuumba sio bure
How come mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani
Uzi huooooo
Povu ruksa
Ata kuku zinapumua mkuuAcha kukufuru, kwa nini usiamini kwa hiyo pumzi unayovuta na kusurvive?
Umeruhusu povu
Ndio some time uwoya huwa ananifanya niamini kua kuna munguDuuuh! yΓ ani Dunia ilivyoumbika na maajabu yake
'Irene Uwoya'ndio akuaminishe Mungu yupo
Karibu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Idiot
We huna akili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
We huna akili[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nisaidie ku edit hii comment kidogo dada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndio comment bora kwa huu mwezi june aseee!
Ukipewa dakika 3 Za kumuelezea uwoya utaelezeaje?Taka taka hui
HayaNdio some time uwoya huwa ananifanya niamini kua kuna mungu
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ndio nani huyo huko mjini?
Picha yake shing' ngapi?