Irene Uwoya huwa anafanya niamini Mungu yupo some time

Irene Uwoya huwa anafanya niamini Mungu yupo some time

Siku nkitulia ntakuporomoshea za kushato mi mara nyingi huwa naskiliza classic song sio hit song

Angalia na hii ya Derulo inaitwa if am lucky
Ni nzuri [emoji120]
Yule mdada anajua japo ndio nimemuona na kumsikia leo

Nasubiri playlists zako zingine

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Huyu demu alikuwa ni kipindi hiki siyo sasa hivi naskia ana ngwengwe...
irine%2Buwoya2.JPG
 
Hizo make up zinakuchanganya sio, lini umewahi kumuona hana make up usoni? Usiibiwe kirahisi ndugu.
 
Back
Top Bottom