Irene Uwoya huwa anafanya niamini Mungu yupo some time

Irene Uwoya huwa anafanya niamini Mungu yupo some time

Huyu demu alikuwa ni kipindi hiki siyo sasa hivi naskia ana ngwengwe...
irine%2Buwoya2.JPG
Ngoja nisali kabisa kabla sijajilipua kimoja

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani

Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji aliemuumba sio bure

How come mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani

Uzi huooooo

Povu ruksa
Wana agent wao au nikupe namba ya agent ukajipigie mzee baba
 
Irene akiamua kuwa mkweli aorodheshe wabunge waliopita apo nchi itasimama[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom