maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
- #61
Ngoja nisali kabisa kabla sijajilipua kimojaHuyu demu alikuwa ni kipindi hiki siyo sasa hivi naskia ana ngwengwe...
![]()
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nisali kabisa kabla sijajilipua kimojaHuyu demu alikuwa ni kipindi hiki siyo sasa hivi naskia ana ngwengwe...
![]()
Hizo make up zinakuchanganya sio, lini umewahi kumuona hana make up usoni? Usiibiwe kirahisi ndugu.
Wana agent wao au nikupe namba ya agent ukajipigie mzee babaKiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani
Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji aliemuumba sio bure
How come mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani
Uzi huooooo
Povu ruksa
Wana agent wao au nikupe namba ya agent ukajipigie mzee baba
Madon huwa hawalilii hivi wanachukua mzigo tu. Wewe kapuku tu ndio maana unalialia huku JF.Na wewe paka izo make up afu leta picha apa madon tuusome mzigo
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Duuh hivi uwoya ni mzur ???
Nahisi ukimuona mke wngu roho itakata hapo hapo
basi wewe ni marioo... angalia utakuja ombwa ubwabwa a.k.a maji kubwa
Hahahahaha..
"How comes mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani"
Tatizo ni Mods. Niko na mchakato ku form nyingine isihusisha ujinga mwingiJf inapitia kweye kipindi kigumu sana kwa sasa...
basi wewe ni marioo... angalia utakuja ombwa ubwabwa a.k.a maji kubwa
sawaTatizo ni Mods. Niko na mchakato ku form nyingine isihusisha ujinga mwingi
Kwahiyo unatafuta kubishana mkuu, ok pole sana.
Irene akiamua kuwa mkweli aorodheshe wabunge waliopita apo nchi itasimama[emoji3][emoji3]
ushindwe kabisaaKama chelsea itakavyokuwa na wakati mgumu msimu ujao[emoji23][emoji23]
Hahaha wengi