maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Kiufupi huwa siamini ya kua Mungu yupo huwa naungana na wale wasemao binadamu wa kwanza alikua nyani
Ila some Time nikichill alone nikitafakari uzuri wa Irene uwoya huwa naamini kuna muumbaji aliemuumba sio bure
How come mtoto mkali kama yule eti chimbuko lake nyani
Uzi huooooo
Povu ruksa