maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
- Thread starter
-
- #41
na wewe si ndo waziri mwenyewe ulie kuja kuzinduaHiki ni kiwanda kipya kilicho zinduliwa huko Itulunya Kaskazini na Suleman Jaffo.... Hongereni ccm
Ila mkuu me nimemiliki demu miaka 2 ilopita Uwoya hatoboi nakwambia
Umenisikitisha
Ni nzuri 🙏eeeh kashirikishwa asa jina la mwenye nyimbo limenitoka nikaona bora nkutajie uyo ambae utamtambua mapema
Umeionaje?
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Sure nakwambia.Ni vile si maarufu kama huyo.Ila ni makaliiiii hatar.Akipata umaarufu huyu watu watachanganyikiwaNaona unaota, ukimaliza kuota ndoto yako nisanue ili unavonisimulia isomeke hadi End
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Ni nzuri [emoji120]
Yule mdada anajua japo ndio nimemuona na kumsikia leo
Nasubiri playlists zako zingine
Pow ukimaliza kuota nisanua mkuuSure nakwambia.Ni vile si maarufu kama huyo.Ila ni makaliiiii hatar.Akipata umaarufu huyu watu watachanganyikiwa
Sent from your.......?[emoji23]
Hapana mi si dogo janja mi ni Uncle la townwewe ni dogo janja???
uzi tayari
Haya mkuu kataa tu
Haya mkuu kataa tu