busha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2019
- 1,712
- 2,577
Yap ndio,,inamaana hapo nikiweka na kope za bandia pamoja lips za bandia busha nafanana na huyo kinyago wako,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap ndio,,inamaana hapo nikiweka na kope za bandia pamoja lips za bandia busha nafanana na huyo kinyago wako,
Bado bado mkuu...tutamkumbuka jamaa siku zote,hajaondoka kwa ubayaMkuu bado haujafikiria kubadilisha id na avatar yako?
Hahahah kuna shabiki wa Chelsea nlimwambia jana hivyo kuwa mtakuwa na wakati mgumu sana nyie mnaweza jikuta mmekuwa kama Man u
Upi huo, mkuu.ndio mkuu, kuna uzi wako mmoja hivi naupendaga sana
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Usifananishe CHELSEA na mambo ya Kipuuzi[emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Duuuh! yàani Dunia ilivyoumbika na maajabu yake
'Irene Uwoya'ndio akuaminishe Mungu yupo
HahahaUmenitenga mkuu language ratio mkuu, ila unamuonaje uwoya
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mungu wa uwoya huenda ni mungu wako pia ila mungu aliemuumba uwoya in short yuko vizur japo huenda alibahatisha
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
we jamaa ondoa hiyo signature yako, huoni hata aibu kutuambia unapost from tecno f2?
Wewe tupo pamoja kuelekea kwene uchumi wa viwanda
Hawa wanaobisha watachelewa sana
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Nakushauri epuka chaputa [emoji3]
InalillahDuuuh! yàani Dunia ilivyoumbika na maajabu yake
'Irene Uwoya'ndio akuaminishe Mungu yupo
Kazi kwelikweli mkuu.Jf inapitia kweye kipindi kigumu sana kwa sasa...
Unafundisha jinsi ya kuosha uumeUpi huo, mkuu.
umejuaje kama huwa natumia hayo mafuta matamuTayari kesho toka kupiga huyu '"hausikii harufu ya Vaseline! ?
😂😂Mnaicheka timu yangu. Wakati hata msimu wenyewe hujaanza.
Olee wenu nyie mchekao sasa maana hamtoamini macho yenu.
ulikuwa wapi aisee.... i miss u.😂😂
Hebu tusubiri kwanza