Obamaeli Rutajecha
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 230
- 274
- Thread starter
- #21
Mwenzao yupi mkuu?Nasikia wanamuiga mwenzao na wengi watafungua huduma zao kama mitume na manabii wa uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzao yupi mkuu?Nasikia wanamuiga mwenzao na wengi watafungua huduma zao kama mitume na manabii wa uongo
Hahaha,hizo zitadumu milele mkuuHizo picha ziwekwe kwenye hansard zitafaa sana kwa matumizi ya baadae..wakati mtumishi anatoa ushuhuda wa maisha aliyoishi Misri kabla ya kuingia kaanani
Wanadhani wachungaji wanavyoendesha gari kali, wanazipata ki urahisi, kufunga, kuomba, kudharaulika, kutukanwa, kurogwa, n.K MengiWanataka hela za kondoo nini mkuu?
Naona wanakamatia fursa mkuu, wanaanza kupata upinzani.Haya yote wamesababisha akina Lusekelo [emoji26]
Kwahiyo mkuu kanisa litakuwa na jukwaa maalumu kwa wana chaputa sioUnaenda kanisani na maji ya masafi na sabuni halafu unakaa kule ukutani kule, unakua bize kumuangalia mchungaji Uwoya a.k.a Mama wa Kuunguruma Nyikani (Natumaini ataipokea hii a.k.a) huku ukikumbuka picha zake za kutegana, za utata, mapozi tata yote ya kwenye gazeti la Sani, Kiu, Ijumaa, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Filamu na hadi jarida la Bab Kubwa.
Hapo ile sabuni na maji ya Masafi vinazidi kukuliwaza.
By the way utajua mwenyewe ujiweke nafasi ya Ndikumana au Msami kipindi ukiwa umejibanza hapo ukiendelea kupokea neno.
Watakuwa wanamliwaza mchungaji au?Waumini wanaume ninawapa pole.
Sio mchezo..Kweli hali ni ngumu.
MhhhhUnaenda kanisani na maji ya masafi na sabuni halafu unakaa kule ukutani kule, unakua bize kumuangalia mchungaji Uwoya a.k.a Mama wa Kuunguruma Nyikani (Natumaini ataipokea hii a.k.a) huku ukikumbuka picha zake za kutegana, za utata, mapozi tata yote ya kwenye gazeti la Sani, Kiu, Ijumaa, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Filamu na hadi jarida la Bab Kubwa.
Hapo ile sabuni na maji ya Masafi vinazidi kukuliwaza.
By the way utajua mwenyewe ujiweke nafasi ya Ndikumana au Msami kipindi ukiwa umejibanza hapo ukiendelea kupokea neno.