Irene Uwoya kufungua kanisa lake

Irene Uwoya kufungua kanisa lake

Unaenda kanisani na maji ya masafi na sabuni halafu unakaa kule ukutani kule, unakua bize kumuangalia mchungaji Uwoya a.k.a Mama wa Kuunguruma Nyikani (Natumaini ataipokea hii a.k.a) huku ukikumbuka picha zake za kutegana, za utata, mapozi tata yote ya kwenye gazeti la Sani, Kiu, Ijumaa, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Filamu na hadi jarida la Bab Kubwa.

Hapo ile sabuni na maji ya Masafi vinazidi kukuliwaza.

By the way utajua mwenyewe ujiweke nafasi ya Ndikumana au Msami kipindi ukiwa umejibanza hapo ukiendelea kupokea neno.
Kwahiyo mkuu kanisa litakuwa na jukwaa maalumu kwa wana chaputa sio
 
Au awe pastor au mwalimu kwa sababu hizo ni huduma mbili tofauti!
 
Biblia inasema njooni kwangu ña mizigo yenu ya dhambi nami tawapumzisha.

Biblia inasema tubuni ña mjitakase kabla mwana wa adam kurejea

Biblia inasema nafsi iliyopotea ikirudi malaika wa bwana hukesha kwa kuimba, furaha na kucheza,

Biblia inasema hakuna aliyemsafi Sote tumeoza.

Hivyo basi cha msingi ni iman yake ikowapi, ña utakapoenda imani yako itakua wapi!

Unaweza kufundishwa nakahaba kutokana na imani yako ukaponywa

Kumbuka YESU alimteua Zakayo mwenye dhambi nzito za utoza ushuru!

Lakini pía aliweza kukubali kusogelewa na mamá yule mchafu atokwaye damu wakati wote!

Imani Imani Imani Imani

Is your only safe Way!!
 
Hivi maisha yamekuwa magumu kiasi hiki[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitakuwa namtafuta huyu mchungaji hasa kwa maombi ya usiku tukikesha na kuomba tukiwa faragha ili anipe upako mwingi zaidi tukiwa wawili
 
Unaenda kanisani na maji ya masafi na sabuni halafu unakaa kule ukutani kule, unakua bize kumuangalia mchungaji Uwoya a.k.a Mama wa Kuunguruma Nyikani (Natumaini ataipokea hii a.k.a) huku ukikumbuka picha zake za kutegana, za utata, mapozi tata yote ya kwenye gazeti la Sani, Kiu, Ijumaa, Uwazi, Ijumaa Wikienda, Filamu na hadi jarida la Bab Kubwa.

Hapo ile sabuni na maji ya Masafi vinazidi kukuliwaza.

By the way utajua mwenyewe ujiweke nafasi ya Ndikumana au Msami kipindi ukiwa umejibanza hapo ukiendelea kupokea neno.
Mhhhh

Kazi kwelikweli
 
Bongo Movie Hazilipi sasa hv naona ameamua kugeukia eti Kuwa Pastor, kufungua kanisa

Hv hawa Dada zetu akili wamepeleka wapi?

Kanisa ni biashara sasa hv nenda Irene katengeneze helaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom