Maisha hubadilika, tabia pia hubadilika. Pia Mungu huwatafuta waliopotea...anaweza kuwa mtu mwema sana
Bila shaka wewe utakuwa unataka chachandu!Nitakuwa namtafuta huyu mchungaji hasa kwa maombi ya usiku tukikesha na kuomba tukiwa faragha ili anipe upako mwingi zaidi tukiwa wawili
Katika kizazi hiki cha Joka,Aiseee uchungaji kumbe ni kitu rahisi eeeh!Yani kama nawaona kondoo wake