Irene Uwoya kufungua kanisa lake

Irene Uwoya kufungua kanisa lake

HIVI HUYU MUNGU AMESHUSHWA HADHI ADI KUWA BINADAMU...????

Let be serious with God's glorious.
 
ushuhuda wa dalili za mwisho wa dunia ni kutokea kwa manabii fake km hiv sasa,,,,mambo ya imani yapo kibiashara sasa,,,,,siku hiz dhambi hazipunguzwi kwa maombi au kutubu,,,pesa ndo imekuwa mbele kubariki utu,,,,,,,sikiliza mahubiri ya siku hizi,,mwishon mwa mahubiri lazima itajwe M-PESA,TIGOPESA ,CRDB,NMB nk..................GOD lead us towards a right way
 
Tunampokea sisi watu wa mungu, ilimradi lengo lake lisiwe la kibiashara kama mwenziwe
628c7b1d52d02c2215836ddb4a37ff10.jpg
 
Watu hubadilika tumewaona waliokuwa kama sauli alibadilishwa na kuwa Paulo na kazi yake tumeisikia, hebu tusubiri tuone na kama kweli nakuombea Irene Uwoya ufikie lengo lako
 
Hii sasa babu kubwa, kweli mwisho wa dunia umefika..
IU6.jpg
IU5.jpg
IU4.jpg
IU2.jpg
IU1.jpg
 
Afanye haraka apige pesa.

Hiyo ndio biashara inayolipa mjini kwa sasa maana kule kwenye sembe kushakuwa pa moto.
 
Msanii Irene Uwoya amesema anataka awe Pastor (Mchungaji) na afungue kanisa, na anao uwezo wa ajabu wa kumuombea mtu na mambo yake yakanyooka

Una lipi la kumwambia nini Irene Uwoya katika hilo?

 
Nay wa Mitego kujenga kanisa

Thursday , 16th Feb , 2017
Msanii wa muziki Nay wa Mitego amesema kuwa ana mpango wa kumiliki kanisa siku za usoni kwa kuwa anaamini kwa sasa dini ndiyo biashara inayolipa zaidi ndani ya nchi na Afrika kwa ujumla.


kanisa.jpg

Nay wa Mitego

Kauli hii imetoka kinywani mwa Nay wakati akijibu maswali ya mashabiki kupitia kipindi cha KIKAANGONI kinachoruka kila Jumatano kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV, baada ya kuchana mistari kadhaa iliyomo ndani ya ngoma yake mpya aliyoiachia leo mistari inayosema

Amesema kuwa kuwa yeye anatarajia kuwa mmiliki wa kanisa la imani anayoiamini yeye menyewe na kuongeza kuwa hiyo ni biashara inayolipa zaidi kwa sasa.

"Broo wewe kama una kiwanja chako jenga kanisa ni biashara inayolipa sana. Mimi natarajia siku za karibuni nitakuwa mmiliki wa kanisa kwa dini ninayoiamini mimi. Sitakuwa mchungaji lakini nitakuwa mmiliki wa kanisa" Nay aliwaeleza watazamaji wa KIKAANGONI.

Nay 'The true boy' ameongeza kwamba katika orodha ya matajiri kwa sasa barani Afrika ni viongozi na wamiliki wa makanisa.
 
Ney wa Mitego shida za utotoni zinamtesa hamna kitu kibaya kama kukosa malezi
 
Saizi waumini ulimwenguni wamekuwa Dhaifu sana,Wanahama-hama kama wehu.
Atapata tu wafuasi/waumini .
 
Huyu si alishakuwa muisilamu kwa nyakati mbili tofauti akiwafuata mabwana?
 
Back
Top Bottom