miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hahahaha nimekuelewaKweli hali ni ngumu.
Kwa sababu Mwana wa Adam alikuja kutafuta na kuokoa kilochopotea, pia Yesu alisema makahaba n.a. wenye dhambi watatangulia mbinguni n.a. wanaojifanya mafarisayo wataachwa. Our God is a transforming God, He is not calling for the qualified one, rather He qualifies those He calls.