Irene Uwoya kufungua kanisa lake

Irene Uwoya kufungua kanisa lake

Ndo mana jua kali hivi..!!na mvua za adimu vile...!!
 
Bongo movie hailipi, kuona upande wa pili Ndio Sawa ila Mungu sio wa kujaribiwa kama ni kwel muda utatuambia
 
Ameshindwa kufungua CASINO? au hailipi?
 
Sipati picha ndani ya chumba cha maombi mchungaji uwoya akimuombea mkware aache dhambi
 
Msanii Irene Uwoya amesema anataka awe Pastor (Mchungaji) na afungue kanisa, na anao uwezo wa ajabu wa kumuombea mtu na mambo yake yakanyooka

Una lipi la kumwambia nini Irene Uwoya katika hilo?

Kwa sababu Mwana wa Adam alikuja kutafuta na kuokoa kilochopotea, pia Yesu alisema makahaba n.a. wenye dhambi watatangulia mbinguni n.a. wanaojifanya mafarisayo wataachwa. Our God is a transforming God, He is not calling for the qualified one, rather He qualifies those He calls.

Karibu Irene Uwoya njoo tufanye kazi ya Mungu tuzigeuze falme za dunia ziwe za Mwanakondoo
 
Hiki kizazi mbona mbona kinamfanya mungu kama nyanya yao, kwanza naomba ieleweke kuwa kwenye hiki kizazi hakuna Nabiii hao wanaojiita manabii mungu kashawatengea tanuru lao, pili hawa wasanii akianza huyu 966 a.k.a NEY wa mitego jana nimemsikia E.A.T.V ataanzisha kanisa mbezi ya kimara ila yeye atakuwa moja ya waumini wa kawaida tuu Ijapokuwa kuna hiden AGENDA ndani yake tena bila uwoga anasema ukiwa muumin wa kanisa lake ndani ya mwaka utakuwa TAJIRI, UNAMILIKI MALI, MAGARI, kiufupi ndan ya mwaka 1 utakuwa ushabadilika ila tu ukiwa muumin, kwa mwenye akili ashaelewa hizo namba zinamaanisha nn
 
Back
Top Bottom