Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

Status
Not open for further replies.

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!

Screenshot_20220526-135024.jpg
Screenshot_20220526-134930.jpg

Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!View attachment 2239305View attachment 2239306
Sasa mwanangu mbona hii number plate ni editing kulikuwa na haja gani ya boss wako kufanya hivyo?
 
Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya kuangalia uwezekano wa kuinunua quality mall na kuifufua upya!View attachment 2239305View attachment 2239306

Acha wivu mkuu!
Wivu wapi bwana chama, sina muda wa wivu na mwanamke nimeuliza tu uhalisia kuna sababu gani ya kuphotoshop number plate kwa kutumia adobe?
 
Wivu wapi bwana chama,sina muda wa wivu na mwanamke nimeuliza tu uhalisia kuna sababu gani ya kuphotoshop number plate kwa kutumia adobe?
Ndio hivo soon atakuwa mmiliki wa quality mall!
 
Ila jamani kuna wanawake wamejaliwa na mnyaaaaazi MUNGU..Irene kila akizeeka anazidi kuwa mrembo[emoji39]

Mkuu sorry nipo nje ya mada

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mwanangu una mawazo Kama yangu, huwa nashangaa watu wanasema Paula ni pisi Ila Mimi naona uwoya,kajala na mishangazi Kama hiyo ndio pisi kali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom